Nimewamiss sana humu

Nimewamiss sana humu

Mrsme

Senior Member
Joined
May 8, 2022
Posts
145
Reaction score
347
Nimerudi tena jaman , it has been a while na Niko na hamu sana ya kusimulia story ya maisha yangu especially upande wa mahusiano, hope mtaipokea
 
Mh mjumbe umenifanya nirudi kusoma komenti kwanza nione kama naweza kupata muongozo ila nimeambulia patupu..,
Unamkumbuka shemeji yako wa tatu hapa ndani miaka ileee.....😊
 
Nisingependa sana kuitaja ID yangu ya mwanzo kwan ninachotaka kusimulia n historia kabisa ya maisha yangu yenye mambo meng sana, na kwakua kuna baadhi ya watu tulifahamiana kupitia ID yangu ya nyuma basi nisingependa kuitaja hivo mnisamehe tuu
 
Back
Top Bottom