Nimewamiss Tala, nataka kuwalipa

Nimewamiss Tala, nataka kuwalipa

Mimi nililipa Deni lao lote ikabaki 4,000 tuu
 
wwanandai laki na sijui...sema wastaarabu hawa sio kama branch...kidogo nisiwalipe branch waliniboa..baadae nkashika pesa nkaona sio kesi nisiwakaushie
 
Baad y kuwalipa vipi wanakukopesha saiv?
aah wapi niliwaambia wanitoe maan ahawaklopeshi tena..wanataka eti sababu..nkaselet tu account....maan anaona haina faida ...sa hv kiko[ asihitaji tena maana financialy stability inanafuu kuliko
 
Mie natafuta tena wengine wanaokopesha kwa sasa. Ukiacha tala na branch
 
Back
Top Bottom