Nimewamiss....

Nimewamiss....

Nimekuta tayari umeshachukuliwa kweli mapenzi ni sawa na upofu ujui litakalotekea uko mbele

Hehehehe sasa kama uliondoka katika mazingira ya kutatanisha mie nifanyeje?.......mume gani unaondoka humuagi mkeo?
 
Hehehehe acha kunichekesha bana lol.....haya ulitekwa kwa kisa gani?

Kisa eti nilishuhudia mauaji ya jirani yetu wakati natokea kazini sikuweza hata kupata nafasi ya kukuambia chochote
 
Back
Top Bottom