Nimewamiss....

Nimewamiss....

Ila sheria za jf si zinakataza mabusu ya hadharani?????.....hujambo mama wa ubatizo!.....Kadogoo anakusalimia!
nina mimba ya triplets, mwambie kadogoo very soon atapata wa kucheza naye, Yummy naye kanidokeza jana ana twins, huyu babu huyu kha! ni noumer!
 
Last edited by a moderator:
Nimestuka huyu Bishanga mnamzulia mambo mengi mpaka mnamsuta...
Erotica niko naye huku Martenity ward nampa dawa za kutuliza maumivu ya kujifungua mapacha
Bishanga ana kiherehere ndio mana haishi kuzuliwa.....mwambie apunguze!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
babu Dark City ni mtu wa busara, namuongelea babu mkaguzi, mwenyewe unamjua, khaaaaaaaa kumbe mimba ya Yummy sio ya mume wetu ni ya Mr Rocky??? lolest, kweli muosha, huoshwa! kha!
Heheheeeeeee
Hizi habari mpya wandugu lol Mr Rocky anaharibu kimya kimya eeeh nakumbuka mara yamwisho alinipa warning kwa Yummy kumbe alishamaliza kazi lol
Hongereni sana kwa kupata Kizaigoti
 
Last edited by a moderator:
nina mimba ya triplets, mwambie kadogoo very soon atapata wa kucheza naye, Yummy naye kanidokeza jana ana twins, huyu babu huyu kha! ni noumer!

Hapo red unamaanisha babu Asprin au Dark City?
Ila Yummy sina tatizo nae manake namuaminia Mr Rocky!

babu Dark City ni mtu wa busara, namuongelea babu mkaguzi, mwenyewe unamjua, khaaaaaaaa kumbe mimba ya Yummy sio ya mume wetu ni ya Mr Rocky??? lolest, kweli muosha, huoshwa! kha!

Ndio hivyo sasa......mwambie babu alie tuu

sweetlady mi iko penda weweeeee sanaaaaaa,bebi dadi wangu unamuelewa hana longolongo kama Asprin mzee wa kuchakachua

cacico hapa DNA inahusika kwa sana maana mi mwenyewe muhusika simjui sshhhhhhhhh usiseme

Talking behind babu's back eh? Ntakeni radhi vinginevyo ntawalaani mkachomwe na moto wa jehanamu
 
Duh kweli this z real chitchat...yani akiingia babu wa ugolo tu,haliya hewa lazima itaharibika...haya nimewamiss SANA WOTE WE ACHA TU.
 
Habari ya Mtwara nahisi ulikuwa umejificha porini mno mpaka ukakosa network.

Lakini miss you so much
 
Sizinga habari yako bana, za siku....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom