Catherine
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,261
- 759
Hapana ni salamu tu sonikisema Mwah na wewe unaniambia Mwaaaaah! sawa eeh?
mi hiyo salamu itanishinda. Tutafute nyingine@kaizer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni salamu tu sonikisema Mwah na wewe unaniambia Mwaaaaah! sawa eeh?
hahah......Sweetlady alie tu, labda kama Cookie anahusika LOL!! Btw, mie mzima japo mafua na kikohozi vinanitishia amani!! Habari ya wewe chipenzi?
akwambie mwaaaaah too!!Hapana ni salamu tu sonikisema Mwah na wewe unaniambia Mwaaaaah! sawa eeh?
akwambie mwaaaaah too!!
catherine anaogopa mi nshazoea bt jtahd kumzoeshaeti kasema itamshinda ndo, naona ntaanza somo la salam yaani "mwah 100" ili azoee, naona princess enny we umeshazoea.
catherine anaogopa mi nshazoea bt jtahd kumzoesha
atazoea ucjal we mpe doz
c doz ya salam!! mwaaah_morning, mwaaah_mchana na nyngne jioni!! lolHe! Doz tena? ya nini? kha...
c doz ya salam!! mwaaah_morning, mwaaah_mchana na nyngne jioni!! lol
usistuke mwaya we ukistuka catherine atastuka zaidinilishtukaje sasa?
Hujambo?
Habari ya Mtwara nahisi ulikuwa umejificha porini mno mpaka ukakosa network.
Lakini miss you so much
Naumwa tehe!
Dah pole sana nahisi kuchomwa mkuki moyoni