Nimewaona,nimemshukuru Mungu


love hapo kwen underline...nakubaliana na wewe kabisa, in a hard way....thats how life is

kwenye blue...I wish kuwe na ka reunion flani hivi, lakini how would they deal with inferiority complex? kwamba while yeye anafikiair watoto labda 6 hivi na amechoka, anajichanganya vipi na mtu aliyekuwa anakaa naye, kula naye, kucheza naye at the same level leo hii ni 'ntu mkubwa tu'? inauma sana aisee

Love, please give me my favourite drink before I go down....
 
Mhhhh!!
Yaani mimi nilifaulu peke yangu kati ya 45. Wengi walibaki kijijini, wakaolewa na kuoa.....mwaka jana nilienda kijijini nikakutana na wadada wawili, yaani wana wajukuu tayari.....!!!
Yaani kila nikikumbuka nilikotokea, nasema "Hata sasa Bwana amenisaidia"
 


ODM... Umenikumbusha weeeeengi... very young, with Great potential... i Grieve when ever i remember at the End I Thank GOD THE ALMIGHTY I was lucky i got to know them kabla hawajachukuliwa.... May they REST IN PEACE....
 

Umebaki wewe tu kutoa tarifa! lol
 

Darling nasikia kuna baadhi ya schools wameanza haya mambo ya reunions.... inapendeza - thou most schools ndio zile za welloffs, but it is a start... Naona itachukua mda for it to be rooted in all schools; ila hio ikifanikiwa yaweza pendeza saaana... in every lets say ten or five years watu mwaonana (itapendeza nione alokua anakuchanganya akili wakati young yupo vipi...lol);

Ila naamin yule ambae anajiona inferiour, curiosity itashinda - kwa siku moja unaazima toka pamba hadi usafiri (au wakodi gari wajifaya your diver....lol)

Enways... Your fav drink is out of question leo... umemaliza dawa leo asubuhi - ngoja iishe kazi yake mwilini... today ni Juice.... Sorry hon'
 
Hahaha,"hilo lidada" lilikutosa nini?
me nilio maliza nao darasa la 7 wengine nikiwa form 1 walikua na watoto tayari
namaliza form4 wana watoto wa2,...sijui saivi watakua na team gani huko.

Watakua ni wamilik wenza wa arsenal.
 


Dah! Karen.... No wonder unasema; "Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is a liar" Lazima ujiulize of all 45... Why you?? HONGERA SAANA Dear...
 
Dah! Karen.... No wonder unasema; "Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is a liar" Lazima ujiulize of all 45... Why you?? HONGERA SAANA Dear...

Yaani my dear AD...Siwezi hata kidogo nikajidai katika hili.....nikikumbuka ninamshukuru Mungu ambaye amenifanya niwepo hapa nilipo leo....! Thanks dear.
 
Yaani my dear AD...Siwezi hata kidogo nikajidai katika hili.....nikikumbuka ninamshukuru Mungu ambaye amenifanya niwepo hapa nilipo leo....! Thanks dear.


Karen dear... Mie naamini saana moja ya njia ya kua na Amani... ni kutambua ulipo is the best thing na kwamba Mungu ndio kakuwezesha - hivo kukufanya siku zinapozidi kuenda uendelee kubarikiwa... Thus kutambua kwako hivo... means una bahati ya huo utambuzi meaning uko appreciative ya maisha yako... Hongera kwa hili pia... Stay blessed.
 
mimi huwa nafarijika ninapowaona wale waliokuwa hawana akili but wamefaulu maisha....
The Boss, hao sio kuwa hawakuwa na akili, bali waliotewa tu kwenye mtihani na hatimaye alama hazikutosha.....! Lakini ukweli ni kwamba kufeli shule sio kufeli maisha....! Na kufaulu shule sio uhakika wa kuwa na maisha mazuri....! do you get me sir?
 
ODM... Umenikumbusha weeeeengi... very young, with Great potential... i Grieve when ever i remember at the End I Thank GOD THE ALMIGHTY I was lucky i got to know them kabla hawajachukuliwa.... May they REST IN PEACE....
Inauma sana shem.....inauma sana. Umemuona homeboy wangu hapo juu?..........Amenipa salamu zako.
 
Dah! thread yako imenifanya nikumbuke mbaali mno, sie tulimaliza la saba wanafunzi 17, ni mmoja tu alifaulu!. sikuwa mimi,tuliobahatika kwenda sekondari za private tulikuwa watano tu, unfortunatelly mmoja aliishia form two sadly ni kwamba si kuwa alifeli ili alijiingiza kwenye mapenzi mapema, she was the bright lady na tulitegemea naye pia angefaulu, siku hizi yuko kijijini yaani....! watatu wameshafariki ( rip). mmoja bahati mbaya alipata tatizo la akili, ni watatu tu ambao tunaonana kwa vipindi, wengine kwa kweli hali ya kimaisha imewaendea vibaya..so sad! Kwa kweli hii thread imenifanya nikumbuke mbali na kujiuliza..mie nina lipi jema nililomtendea Mungu wangu hadi kunifikisha hapa nilipo! dah..ngoja nimpigie mmoja huku nikiendelea kutafakari kwanza!!
 
Mhhh mie darasa la saba nilifeli,competition ilikuwa kubwa sana, darasa moja watu kibao, watoto wote wanajitahidi darasani, form four nikatoka na three ya mwiiiisho, nikaskuuuti weeeeee, nikaanza kusoma tena kwa sasa nina ka ordinary diploma namshukuru Mungu ila hii ya mwisho nilifaulu vizuri,nimesoma la kwanza hadi la saba kwenye shule ya msingi iliyoko dar na maeneo hayo watoto tuliosoma hata ukifeli wazazi wanakubusti sana.

Mitoto mingi niliyosoma nayo imetoka kimaisha coz baba zao badae wamekuwa mafisadi, wengine viongozi,na wengi wako nje either wanaishi au wanasoma.nina imani mzazi wangu angekuwepo hai na mimi ningekuwa na li mastaz la mamtoni maybe, aaarghrr .......nikisema mama salama muuza mandazi na vikalmati wenzangu wote waliosoma hii shule watajua ni wapi hahahahaaaaa, ilikuwa raha sana
 
Inauma sana shem.....inauma sana. Umemuona homeboy wangu hapo juu?..........Amenipa salamu zako.



I support that... Asante kwa salamu dear shem... Unajua ni kwanini katuma kwako hali tushasalimiana?? (ni ujumbe kwangu kua he knows of kuonana kwetu...lol)
 


SaraM' your experience imenigusa kweli... Pole saaana kwa kupoteza wazazi hali ukiwa still young (so it seems)... But kumbuka hata hivo una bahati walau hata una hio diploma... Maana weengi ambao hupoteza wazazi maisha yao huharibika kabasa (ingawa sio woote)... at least yaonesha una amani where you are (hope you don't mind this post)
 
I support that... Asante kwa salamu dear shem... Unajua ni kwanini katuma kwako hali tushasalimiana?? (ni ujumbe kwangu kua he knows of kuonana kwetu...lol)
Uzuri ni kuwa anajua salamu kazipitishia kwenye mikono salama.........
 
 
Inauma sana shem, inauma sana. Sisi ambao wazazi wetu bado wako hai, tunapaswa sana kumshukuru Mungu..... Sana!

Aisee hakuna aliesoma mjini humu? Maana kila mtu kaawacha wenzake kijijini!
Toa ushahidi kama kuna aliyetamka kuwa kawaacha "kijijini". Hapa tunazungumzia tuliowaacha na ilimu yao ya darsa la saba! Hommie ushaonja ya moto kaunta ya chini mchana kweupe namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…