Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Unaposonga katika maisha unagundua kua siku na miaka inavoenda ndo jinsi ambavo wale ulokua nao wanazidi kubaki nyuma…. So sad... Kuna watu wengine you so wish you could see them hata kama once! Katika group zoote za school levels hua wananiuma saaana nilosoma nao Primary level – I am in contact na watu watano tu thou wapo mbali pia….
Lov' hapo kwenye Red…Wakufaulu kwa mafungu (as per your say) waweza sikia the same (I hope aje mmoja hapa aseme) but naamini ni tofauti kabisa na yule ambae kaishi na hao watu for more than five years… It is sad, kuna bitter sweet memories hu stick forever kichwani, yet still hutegemei hata siku moja kuja waona walo play the big part katika baadhi ya mambo katika maisha yako…
love hapo kwen underline...nakubaliana na wewe kabisa, in a hard way....thats how life is
kwenye blue...I wish kuwe na ka reunion flani hivi, lakini how would they deal with inferiority complex? kwamba while yeye anafikiair watoto labda 6 hivi na amechoka, anajichanganya vipi na mtu aliyekuwa anakaa naye, kula naye, kucheza naye at the same level leo hii ni 'ntu mkubwa tu'? inauma sana aisee
Love, please give me my favourite drink before I go down....