kumbe upo ? mambo mpangaji wa moyo wangu ? mwambie hamna cha via mobile siku hizi ni Macintosh lol!
Mkuu Muombe razi tracy kabla hatujakasirika tukaondoa ubalozi wa Canada TanzaniaKweli Tracy hajui kiswahili ye ni kihehe tu lol!

Hamni jump roho bana! hebu tembelea profile langu nimepata bonge la zali, kuna kamchumba kanaitwa tracymatusi, hata kiswahili hakajui kamenidondokea.
Nitahamia JF ya Kenya, nick name mpya yangu itakuwa mungiki

poa baby, macintosh na bundle ya net unanunua bebi wangu.
Kloro lazima utokomee jeief.
Huu ushemeji umeanza lini? tutabanana na Uporoto hapa hapa lol

mnigeria huyo. Stuka shemeji.

Nitahamia JF ya Kenya, nick name mpya yangu itakuwa mungiki
tusihame sana kwenye mada kloro alisoma na Zombe,A.Massawe na dada mmoja alitokomea na mihela kibao ya benki S.Simbaulanga sasa hiyo shule sujui walikuwa wanafundisha nini ?poa baby, macintosh na bundle ya net unanunua bebi wangu.
Kloro lazima utokomee jeief.

hahahaha! Watu mna visa.lol.

Huu ushemeji umeanza lini? tutabanana na Uporoto hapa hapa lol
Tukirudi kwenye mada! mkuu wewe si ulisoma na kingwendu?tusihame sana kwenye mada kloro alisoma na Zombe,A.Massawe na dada mmoja alitokomea na mihela kibao ya benki S.Simbaulanga sasa hiyo shule sujui walikuwa wanafundisha nini ?
Dikshineri la Uporoto limeibiwa, andika kwa kiswahili asje akaniomba nimtafsirie huku PM

siku hizi sharing is nt caring. Uporoto atasibitisha.

tusihame sana kwenye mada kloro alisoma na Zombe,A.Massawe na dada mmoja alitokomea na mihela kibao ya benki S.Simbaulanga sasa hiyo shule sujui walikuwa wanafundisha nini ?
Jaman si umehamia rasmi kwa Keren au kwa sababu haingi mida hii ? halafu Bongo joto hamna mambo ya ku-banana hapaHuu ushemeji umeanza lini? tutabanana na Uporoto hapa hapa lol
tumejifunza kwa Wakenya hii sharing ndio maana hatuendelei ni ukauzu tu sasa hivi.siku hizi sharing is nt caring. Uporoto atasibitisha.
Class yao Zombe ilikuwa unaambiwa, calculator is not allowed! (uibe kwa kutumia kichwa)

walikuwa wanafundishwa mbinu za kufanikiwa katika wizi.

Class yao Zombe ilikuwa unaambiwa, calculator is not allowed! (uibe kwa kutumia kichwa)

George Kihiyo tulimaliza wote Muhimbili Primary 1974. Kama upo humu JF, au kuna mtu anamfahamu, tafadhali ni-pm.
kingwendu alikimbia umande,hivi yule kasurura aliekomba midola aiport alikuwa darasa la nyuma yenu ?Tukirudi kwenye mada! mkuu wewe si ulisoma na kingwendu?
Jaman si umehamia rasmi kwa Keren au kwa sababu haingi mida hii ? halafu Bongo joto hamna mambo ya ku-banana hapa
tumejifunza kwa Wakenya hii sharing ndio maana hatuendelei ni ukauzu tu sasa hivi.
Tobaaaa!

bora mngeambiwa muibe kwa kutumia masaburi msingeiba sana.
Khaaaaa!kingwendu alikimbia umande,hivi yule kasurura aliekomba midola aiport alikuwa darasa la nyuma yenu ?
Hahaha! no comment.bora mngeambiwa muibe kwa kutumia masaburi msingeiba sana.
Sasa keren si ameona hutulii sehemu moja unataka kuwa jogoo wa JF.kamanda kwa Keren kuna mzee Ayubu bana, link ya sred nitakupa kesho lakini ukipata wasaa tembelea sred ya sweet romatic moments ya MJ1 iko hapa hapa MMU ukasibitishe mwenyewe. Inasemekana mzee ayubu anauwa bila kutumia silaha yoyote.