Nimewaona,nimemshukuru Mungu

Nimewaona,nimemshukuru Mungu

poa baby, macintosh na bundle ya net unanunua bebi wangu.
Kloro lazima utokomee jeief.
tusihame sana kwenye mada kloro alisoma na Zombe,A.Massawe na dada mmoja alitokomea na mihela kibao ya benki S.Simbaulanga sasa hiyo shule sujui walikuwa wanafundisha nini ?
 
Tukirudi kwenye mada! mkuu wewe si ulisoma na kingwendu?
 
tusihame sana kwenye mada kloro alisoma na Zombe,A.Massawe na dada mmoja alitokomea na mihela kibao ya benki S.Simbaulanga sasa hiyo shule sujui walikuwa wanafundisha nini ?
<br />
<br />
walikuwa wanafundishwa mbinu za kufanikiwa katika wizi.
 
Huu ushemeji umeanza lini? tutabanana na Uporoto hapa hapa lol
Jaman si umehamia rasmi kwa Keren au kwa sababu haingi mida hii ? halafu Bongo joto hamna mambo ya ku-banana hapa

siku hizi sharing is nt caring. Uporoto atasibitisha.
tumejifunza kwa Wakenya hii sharing ndio maana hatuendelei ni ukauzu tu sasa hivi.
 
George Kihiyo tulimaliza wote Muhimbili Primary 1974. Kama upo humu JF, au kuna mtu anamfahamu, tafadhali ni-pm.
<br />
<br />
dah.sikujua jf ina watu wakongwe kiasi hiki 1974 mtu kashaua primary.hakika huyu ni baba yangu..Much respect kwahuu mtandao kweli ni wa wote,ilimradi uwe great thinker. Acha tu ngashituka!
 
Jaman si umehamia rasmi kwa Keren au kwa sababu haingi mida hii ? halafu Bongo joto hamna mambo ya ku-banana hapa

tumejifunza kwa Wakenya hii sharing ndio maana hatuendelei ni ukauzu tu sasa hivi.

kamanda kwa Keren kuna mzee Ayubu bana, link ya sred nitakupa kesho lakini ukipata wasaa tembelea sred ya sweet romatic moments ya MJ1 iko hapa hapa MMU ukasibitishe mwenyewe. Inasemekana mzee ayubu anauwa bila kutumia silaha yoyote.
 
bora mngeambiwa muibe kwa kutumia masaburi msingeiba sana.
Hahaha! no comment.

kamanda kwa Keren kuna mzee Ayubu bana, link ya sred nitakupa kesho lakini ukipata wasaa tembelea sred ya sweet romatic moments ya MJ1 iko hapa hapa MMU ukasibitishe mwenyewe. Inasemekana mzee ayubu anauwa bila kutumia silaha yoyote.
Sasa keren si ameona hutulii sehemu moja unataka kuwa jogoo wa JF.
 
Back
Top Bottom