Nimewaona,nimemshukuru Mungu

Nimewaona,nimemshukuru Mungu

mi leo nalinda sungusungu jf. Msalimie huyo wifi.

Kamata wote wanaozurura humu jf usiku bila shuguli,asubuh wapeleke kituo cha polisi cha Mods awapige ''ban'' wote.

dah.sikujua jf ina watu wakongwe kiasi hiki 1974 mtu kashaua primary.hakika huyu ni baba yangu..Much respect kwahuu mtandao kweli ni wa wote,ilimradi uwe great thinker. Acha tu ngashituka!

<br /
mtu andalie jukwaa la wazee tukakae na akina mwanakijiji tukumbushane kilimo cha kufa na kupona na elimu ya TAPA

Kamata wote wanaozurura humu jf usiku bila shuguli,asubuh wapeleke kituo cha polisi cha Mods awapige ''ban'' wote.

sawa afante chacha! Nishakamata riarifu rimoja rinaitwa klorokwin

nimecheka hadi machozi yamenitoka. Huyu kijana inabidi tumpeleke jukwaa la imani kabla hajaharibikiwa zaidi.
swahiba wangu anaweza kuzuzuka na jina kumbe dume lenzetu inabidi aende kwa step za kwaito.

Ebwanaaa eeh! Kumbe sa nane saa yangu ilikuwa inaniambia sa tatu.

Back
Top Bottom