Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Kijana wangu kuna muda huwa unakuwa objective sana.
Pls my guy keep it up
 
johnthebaptist akili imerudi kidogooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Jpili njema!
 
Mabadiliko ya fedha ndicho lijuakali alikuwa analamikia msihamishe magoli
Huyu lijuamlizi hajaweza kuwa specific na matumizi mabaya kwa kuweka hata ushahidi.

Haona wananchi walihoji ununuzi wa bombadia umetumia bajeti gan na ulifuata taratibu zipi za manunuzi.?

Walau walionesha kitu halisi.

Sasa yeye watu wanahati inayordhisha ya ukaguzi wa hesabu afu unawatuhuhumu.
Ukiina hivyo ujue ni petty issues ambazo haziathiri chochote.

Tuendelee kunawa kwa maji tiririka.
 
Saa mbovu kuna wakati inapatia majira.
 
juakali atakaa juani kwelix2 sidhani hata wanaomtumia watamthamini tena , ktk maisha kuna do na don't. Huwezi kuwa kiongizi faala hivyo.
Yule alitembelea nyota ya Chadema,nje ya Chadema hana kitu kwani hata hoja zake ni za kitoto kitoto sana,toka asaliti chama uwezo wake wa kufikiri umetoweka kabisa au ndiyo kuwa mtu ukiwa CCM unakabidhi akili zako kwa mwenye chama unaachiwa za kusifia, kuzomea na kwendea chooni tu
 
Kum
KumbE nikubadilishiwa matumizi tu,Mimi nilidhani anasema zimeliwa!!.
Sijui huelewi Nini? Kwa akili yako unaona kubadilisha matumizi siyo kula hela? Unaona ni sawa fedha za kusaidia wagombea kwenye kampeni zikabadilishwa matumizi na zikatumika na mwenyekiti kunywea pombe na kuhudumia nyumba zake ndogo huko siyo kula hela? Ataeleza Sasa alizitumiaje 8.9 billion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti alijikopesha kwani hiyo michango anakusanya yeye?

Lijualikali apambane na CC ya Chadema!
 
Nimalizie kwa kusema fedha yoyote ya taasisi huweza kubadilishiwa matumizi na hiyo siyo dhambi ndio maana hata fedha za bajeti zikifika serikalini zinaweza kubafilishiwa matumizi kwa nia njema tu ya kuleta maendeleo kwa haraka.
Tatizo sio kuchangia,tatizo je hizo pesa zimetumikaje?
Chadema wanatabia ya kukopeshana pesa za michango na ruzuku
Mbowe ana desturi ya kujilipa madeni feki
Takukuru wameshahakikishiwa pesa imechangwa,kinachofuata ni kufuatilia zimeingia kwenye akaunti halali za chama?je zimekwenda kweli kujenga chama?
Hapo tutatafutana na kufungua ma thread kwamba tunaandamwa kisiasa
 
Nyinyi watetezi wa chadema mnajitetea sana kwenye tope la tuhuma nzito.

Chama cha demokrasia na maendeleo kinachowatoza kodi viongozi wote kwa mgongo wa katiba ya chama, ambayo ni mbovu.

Suala la lijuakali sio michango.
Wala sio uhalali wa michango.
Huu ni upotoshaji.

Juakali anapinga matumizi ya fedha zinazokatwa kutoka kwa wabunge.

TAKUKURU haiwahoji wabunge kuhusu matumizi ya fedha. Bali inawahoji ili kujiridhisha kama kweli walichangishwa fedha hizo na hapo sasa.

MUZIKI halisi utaanzia kwenye ukaguzi wa matumizi ya halali fedha hizo,kama chama kinachopewa ruzuku ya serikali na ambayo ni fedha ya walipakodi wa nchi hii.
Hapo ndio jinai inapoweza kupatikana, jinai haiwezi kupatikana midomoni bali kwenye Documents za halali za orodha ya matumizi ya CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO,
CHADEMA.na hili ndio haswa linalomfanya mwamba apige Faru john.
Mpaka kuanguka chakali.

Msijipe moyo mapema, mwenye album hii ni Mh mbowe mwenyewe sio nyinyi PUPPETS.
 
Mabadiliko ya fedha ndicho lijuakali alikuwa analamikia msihamishe magoli

Milion 50 za kila kijiji zilizoahidiwa na maccm zilitolewa kwa hayo matumizi?
Ndege je, manunuzi yake hayakutokana na mabadiliko ya matumizi ya fedha?
Nyie watu hivi akili zenu zipo sawa kweli?.. inawezekana mna kasoro kwenye ubongo!!
 

Umeandika matakataka tu, hamna kitu!
Hovyo kabisa!
 
Mmoja wa puppets ni johnthebaptist ambae anawavuruga akili wapambe wa Mbowe. Wanasahau kuwa pesa zilikatwa ili ziwekwe kwenye fixed account ili zitumike ajili ya uchaguzi.Sasa zimeyeyuka na aliyezichota anajulikana bingwa wa maigizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…