Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Kwani nyie ndio mlimpitisha unataka kusema unamwamini magufuli sasa kwa nini mnalia lia kila siku
Hakuna mahali nimesema namwamini Magufuli. Hakuwa chaguo la ccm bali kwakuwa Upinzani ulikuwa imara basi wakaona wampitishe yeye.

Suala lingine anaonekana wazi kutaka kung'ang'ania madaraka na kuna wapiga debe wake akiwepo Ndugai. Sasa nikuulize Watangulizi wake wangekuwa na tamaa kama yeye angekuwa Rais hivi sasa??

Hata kwa wanaccm wengi Magufuli hakubaliki ila watu inabidi wawe wanafiki na waoga kwa kuhofia maslahi na maisha yao kupitia lile kundi la watu wasiojulikana.

Kama anakubalika kwanini aogope ushindani?? Naomba usininukuu vibaya kuwa namkubali Magufuli na kamwe siko tayari kufanya hivyo.
 
Huyo lijualikali alikatwa pesa zake chadema sasa hivi bado kukatwa yeye mwenyewe kwa maana ya kukatwa kama kukatwa
 
Hapa tunajadili jinai unaleta siasa unajiona ulivyokiazi mbatata
 
Waliona wampitishe ili awakabili nyie mlikuwa hamna ishu ya maana zaidi ya kupanua vidole
 
CCM tukiamua kuongea ukweli tunaweza.

Heko!
 
Wale kina Lijuakali si wanatumiliwa tu, sasaivi hawana tena mvuto, ukikubali kununuliwa then unakuwa mbogo tu, hutaweza tena kuikosoa serikali utakuwa ni mtu wa mapambio na vigelegele, ukiwa elimu yako ni professor mawazo yako utarudi hadi darasa la kwanza, kisiasa na kijamii unakuwa ushafilisika
 
Kula hela na kubadilisha matumizi ni tofauti,Kwa mfano MTU ana tsh million 20 amepanga kununua gari baadae akbadili mawazo nakuamua kujenga nyumba.Hugo utsema amekula hela au amebadili matumizi?!
Kwa hiyo Mbowe alikuwa sahihi kubadili matumizi ya michango ya wabunge? Au unamaanisha zile hela ni za Mbowe hivyo badala ya kununua gari (kutumia kwenye chaguzi) yeye akaamua kujenga nyumba (kuhonga na kulewa)?
Kama alitwaa zikawa zake yuko sahihi kuzibadili matumizi.
 
Hawa
juakali atakaa juani kwelix2 sidhani hata wanaomtumia watamthamini tena , ktk maisha kuna do na don't. Huwezi kuwa kiongizi faala hivyo.
Hawa ni wahujumu uchumi,wanatoa tuhuma,zikifuatiliwa zinakosa mashiko lakini utasikia bado zikitumika kupiga propaganda. Walikuwa wanatuondoa kwa reli kuhusu kununuliwa kina Lijualikali,Silinde,Komu na Selasini kwa kujiingiza kwenye siasa za Corona.Pia kina hotuba ya Mh.Lissu na Bajeti hewa iliyosomwa hapo majuzi ambapo kwa miaka 5 Jamaa wameshindwa kufikia ufanisi wa bajeti kwa zaidi ya 40%
 
Nafikiri TAKUKURU wachunguze pesa za mchango wa mwenge ma hasa makato kwa wafanyakazi ya mchango huo atakuwa kafanya jambo la maana sana!
 
Tumia kichwa kujadili kilaza wa bavicha wewe TAKUKURU wanafanya uchunguzi mahali popote ambapo kuna malalamiko ya kuwapo kwa rushwa ktk taasisi yoyote hata kama ni binafsi na hapa chadema wamelalamika wenyewe ulitakaje
Sio rushwa dada,ni matumizi mabaya ya fedha. Au penye jinai.
Pole kwa kuzaliwa kutokana na mikesha ya mbio za mwenge.
 
Nasikitika kuwa wengi humu wanaamini kuwa pccb wanafanya uchunguzi wakati kiuhalisia wanafanya siasa. Hamna kitu pale.
 
juakali atakaa juani kwelix2 sidhani hata wanaomtumia watamthamini tena , ktk maisha kuna do na don't. Huwezi kuwa kiongizi faala hivyo.
Lijuakali juzi usiku alikesha kumsubiria mbowe usiku apate kumpiga kwa kushirikiana na Msukuma na mtu mwingine mmoja, walivaa mask wakamshambulia mbowe kwa uoga haraka haraka wakatokomea, mbowe akipona anaenda kusoma Albadiri kubwa wote walioshiriki kumfanyizia unyama watapata majawabu mubashara
 
Nasikitika kuwa wengi humu wanaamini kuwa pccb wanafanya uchunguzi wakati kiuhalisia wanafanya siasa. Hamna kitu pale.
Takukuru wakachunguze zilipo bilion 12 alizokwapua Ndungai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…