Sio kukopeshana lakiniUjenzi wa chama una maana pana.
Polepole anaweza kunielewa zaidi!
Kumbuka kuwa komu alikua mkurugenzi wa fedha,anajua uchafu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kukopeshana lakiniUjenzi wa chama una maana pana.
Polepole anaweza kunielewa zaidi!
Mabadiliko ya fedha ndicho lijuakali alikuwa analamikia msihamishe magoli
Kakaeni tena kikao mujipange tena na kupeleka mapya kabla TAKUKURU hawajamalizana na CHADEMA.Muktadha wa hoja yangu unazungumzia kwenye chama wabunge kulazimishwa kukichangia chama kwa lazima wakati huo yale makato hayaonekani yanafanya nn, wakati nikiwa mwanachama wa Mawakili Tanganyika Zamani nikiwa Tanzania, mimi na wenzangu tulikuja na hoja ya kuchangishwa elfu50 kila wakati wa kulipa ada za TLS kwa ajili ya wakili house, ambapo hyo hela iliyokuwa inachangwa ikawa haionekani.
Si yumo katika msululu wa kuhojiwa kama ilivyokuwa Yuda LijuaSio kukopeshana lakini
Kumbuka kuwa komu alikua mkurugenzi wa fedha,anajua uchafu wote
Wakati anachukuw bila utaratibu huyo kipara Lijualikali alikuwa wapi?Unakwepa mishale kishamba kama sio Yohana. Hilo la Vodacom kukodi Hiace ya mtu na kuweka nembo yao hata mtoto mdogo analijua.
Hapa tunauliza mali zinazonunuliwa kwa jina la Chadema,Michango ambayo inachangwa kwa jina la Chadema ni mali ya Mbowe? Na kama aliichukua bila taratibu asishughulikiwe na vyombo vya dola?
Mwisho wa yote shubiri hizi watakula wao.Swala LA pesa za chadema kuhojiwa na takukuru liko kisiasa mno. Shida kubwa walioibua tuhuma sio wanachadema kwa sasa.Haiwezekani tuhuma ndani ya ccm zitolewe na chadema kisha takukuru wafanyie kazi.
Huyo BWASHEE, inategemea mwezi upo wapi. Kuna wakati, HUWA HAJITOI UFAHAMU!Hivi thread hii ni ya John Mbatizaji kweli? Mimi siamini imekuwaje ameuona ukweli huo?
Kwa hiyo sababu walianzisha Chadema ndio wanawakamua wabunge? Mh... Hii ni mali binafsi sasa.Wakati anachukuw bila utaratibu huyo kipara Lijualikali alikuwa wapi?
Au aliona vinaelea akajua havijaundwa?!
Wewe utoke tu huko kwenye mashamba ya miwa uje utumie brand iliyojengwa na wenzio!
Hammna ukweli wowote. Bil 8+ imetafunwa na mmiliki wa Chadema.Huyo BWASHEE, inategemea mwezi upo wapi. Kuna wakati, HUWA HAJITOI UFAHAMU!
Kama tayari ulimuweka huko, umeionaje thread yake?Kwa hii post yako naanza kukufikiria kukutoa kwenye ignore list yangu
Lilikuwa lisengerema toka siku nyingi tuKwa tafsiri yangu mkuu unamaanisha lile taahira la Kongwa ni Lisengerema?
Nyie watu hivi akili zenu zipo sawa kweli?.. inawezekana mna kasoro kwenye ubongo!!
Katiba ya kukusanya fedha!!!!!Hiyo ipo kikatiba we kilaza!
... matumizi yake ni suala la maamuzi ya kamati kuu!
Mbona unazidi kuwa kumbaf...?!
One of these days you’ll get meHujaeleweka...!!
Umesema, "....madadiliko ya fedha ndicho Juakali alikuwa analalamikia.....!!??"
Una maana gani hapa? Una maana ya mabadiliko ya fedha kirangi toka nyekundu na kuwa bluu, au?
I don't get you....
Huyo Bwashee anabadilika kama kinyonga usimwamini sana. Mzee mzima anajua kucheza na akili za watu.Hivi thread hii ni ya John Mbatizaji kweli? Mimi siamini imekuwaje ameuona ukweli huo?
Kwani anayeidhinisha matumizi ya pesa ni nani pale CDM? Ina maana mweyekiti ndiye kila kitu, kwamba anachoamua yeye basi hakuna mjadala? Kama ni hivyo basi itakuwa kampuni ya mtu binafsi siyo chama cha siasa.Sijui huelewi Nini? Kwa akili yako unaona kubadilisha matumizi siyo kula hela? Unaona ni sawa fedha za kusaidia wagombea kwenye kampeni zikabadilishwa matumizi na zikatumika na mwenyekiti kunywea pombe na kuhudumia nyumba zake ndogo huko siyo kula hela? Ataeleza Sasa alizitumiaje 8.9 billion.
Sent using Jamii Forums mobile app