Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Swala LA pesa za chadema kuhojiwa na takukuru liko kisiasa mno. Shida kubwa walioibua tuhuma sio wanachadema kwa sasa.Haiwezekani tuhuma ndani ya ccm zitolewe na chadema kisha takukuru wafanyie kazi.
 
Juakali hakulalamika juu ya makato ya fedha kwani hilo swala lipo ndani ya katiba bali alicholalamika ni kubadirishwa matumizi ya hayo makato ikiwemo mwenyekiti kujikopesha na mpaka sasa chama hakina fedha ni vyema tusiwe na haraka kwani zote ni tuhuma tusubiri takukuru wamalize uchunguzi mbivu na mbichi zitajulikana
Mkuu kamati kuu ndo inaamua matumizi,Kama kamati kuu ilikubali kumkopesha Mwenyekiti,Lijuakali anabwabwaja tu otherwise alipaswa kuilalamikia kamati kuu na si mwenyekiti.Lakini la mwisho nadhani kuanza kugombana na kumtukana na hata kuweka mapungufu ya mwajiri wako wa zamani Wala humkomoi mwajiri wako bali unajikomoa mwenyewe maana unamwonesha mwajiri wako mpya namna ulivyo na kwa sababu hii huyo mwajiri wako mpya kukupa nafasi itakuwa muujiza
 
Jibu swali kwanza. Ford ranger za M4C na magari yanayoingizwa kwa jina la Chadema ni mali ya Mbowe?
Inawezekana huo ni utaratibu wa kawaida kabisa kwenye biashara.

Nimewahi kuwakodisha St Marys School gari na ilijulikana ni gari ya shule hadi uende kwenye kadi ndio unamkuta mmiliki kamili.

Kwa taarifa yako hsta makampumi ya simu, Tbl nk magari mengi siyo yao japo kwa nje utambulisho wote ni wao!
 
Kwa kweli kama alikua na nia ya kuhama CHADEMA angehama tu kistaarabu ama kimya kimya. Sidhani kwa mapovu aliyotoa hata huko alikopokelewa watamuamini

Lijuakali ni hopeless kabisa.
Jana ungemsikiliza Lwakatare katika kipindi cha Medani za Siasa kupitia Star tv ungeona jinsi wanasiasa wastaarabu walivyo.

Jamaa anajitambua sana!
 
Juzi kati hapa mlikuwa na nyuzi kibao za kumponda Lwakatare leo unakuja kumsifia kisa aliongea kila unachokipenda, wanasiasa akili zao sio nzuri jamani
 
Nimwwasikiliza wabunge wote wa Chadema waliohojiwa na vyombo vya habari baada ya kutoka kwenye mahojiano na maofisa wa Takukuru.

Kwanza nilimsikiliza Lijualikali aliyedai wabunge wa Chadema wamepanga njama za kuidanganya Takukuru.
Nikakaa mkao wa kuwasikiliza wabunge wengine ili nibaini hizo njama.

Nilichogundua baada ya kuwasikiliza ni kweli wabunge wamekiri kukatwa fedha zao kwa ajili ya ujenzi wa chama na hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Chadema

Pili, makato hayo hukatwa na ofisi ya bunge chini ya Baraka za mh Spika na kuwasilishwa kwa Katibu mkuu wa Chadema.

Tatu, matumizi ya chama husimamiwa na Katibu mkuu na fedha za chama hutunzwa na mhasibu mkuu wakati matumizi ya chama huamuliwa na kupitishwa na kamati kuu ya chama.
Suzan Lyimo kwa mfano alishangaa wao kuulizwa maswali yaliyopaswa kuelekezwa kwa mhasibu kwani wao kama wabunge katiba inawataka kuchangia ujenzi wa chama siyo kupanga matumizi.
Suzan Kiwanga amedai makato yao hubsrikiwa na mh Spika.

Naye mbunge Pareso anasema kanuni ya makato huelezwa kuanzia day one unapojaza fomu ya maombi ya ubunge hivyo ni uamuzi wako kama hutaki usigombee.

Katika mazingira haya ni wazi makato ya wabunge wa Chadema yako kikatiba na matumizi yake huidhinishwa na kamati kuu ya chama.
Labda ndio maana CAG aliwapa hati inayoridhisha

Nimalizie kwa kusema fedha yoyote ya taasisi huweza kubadilishiwa matumizi na hiyo siyo dhambi ndio maana hata fedha za bajeti zikifika serikalini zinaweza kubafilishiwa matumizi kwa nia njema tu ya kuleta maendeleo kwa haraka.

Nawatakia Dominica yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu johnthebaptist ,wewe huko unafanya nini? Angalia mashetani yasikupe sumu,maana ukweli kwao ni dhambi. Kongole kwa kuwa mkweli na kuusimamia. Mungu Mwenyezi akubariki sana.
 
Juzi kati hapa mlikuwa na nyuzi kibao za kumponda Lwakatare leo unakuja kumsifia kisa aliongea kila unachokipenda, wanasiasa akili zao sio nzuri jamani
Mimi ni Chadema hadi nimponde Lwakatare?

Siasa siyo uadui bwashee....... Kalagabaho!
 
Inawezekana huo ni utaratibu wa kawaida kabisa kwenye biashara.

Nimewahi kuwakodisha St Marys School gari na ilijulikana ni gari ya shule hadi uende kwenye kadi ndio unamkuta mmiliki kamili.

Kwa taarifa yako hsta makampumi ya simu, Tbl nk magari mengi siyo yao japo kwa nje utambulisho wote ni wao!
Unakwepa mishale kishamba kama sio Yohana. Hilo la Vodacom kukodi Hiace ya mtu na kuweka nembo yao hata mtoto mdogo analijua.
Hapa tunauliza mali zinazonunuliwa kwa jina la Chadema,Michango ambayo inachangwa kwa jina la Chadema ni mali ya Mbowe? Na kama aliichukua bila taratibu asishughulikiwe na vyombo vya dola?
 
Nadhani Lijuakili ana tatizo la akili kwa kiwango fulani. Huwezi kumtuhumu mtu kujikopesha fedha wakati yeye siyo mhasibu, na siye anayeidhinisha matumizi yake.

Angekuwa na akili, japo kidogo sana, angemtuhumu Katibu Mkuu, Mhasibu na Kamati Kuu.

Lijuakali is a low brain with no wisdom.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye na huyo bamkwe wake ni mazero brain
FB_IMG_1592064658118.jpg
 
Nimwwasikiliza wabunge wote wa Chadema waliohojiwa na vyombo vya habari baada ya kutoka kwenye mahojiano na maofisa wa Takukuru.

Kwanza nilimsikiliza Lijualikali aliyedai wabunge wa Chadema wamepanga njama za kuidanganya Takukuru.
Nikakaa mkao wa kuwasikiliza wabunge wengine ili nibaini hizo njama.

Nilichogundua baada ya kuwasikiliza ni kweli wabunge wamekiri kukatwa fedha zao kwa ajili ya ujenzi wa chama na hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Chadema

Pili, makato hayo hukatwa na ofisi ya bunge chini ya Baraka za mh Spika na kuwasilishwa kwa Katibu mkuu wa Chadema.

Tatu, matumizi ya chama husimamiwa na Katibu mkuu na fedha za chama hutunzwa na mhasibu mkuu wakati matumizi ya chama huamuliwa na kupitishwa na kamati kuu ya chama.
Suzan Lyimo kwa mfano alishangaa wao kuulizwa maswali yaliyopaswa kuelekezwa kwa mhasibu kwani wao kama wabunge katiba inawataka kuchangia ujenzi wa chama siyo kupanga matumizi.
Suzan Kiwanga amedai makato yao hubsrikiwa na mh Spika.

Naye mbunge Pareso anasema kanuni ya makato huelezwa kuanzia day one unapojaza fomu ya maombi ya ubunge hivyo ni uamuzi wako kama hutaki usigombee.

Katika mazingira haya ni wazi makato ya wabunge wa Chadema yako kikatiba na matumizi yake huidhinishwa na kamati kuu ya chama.
Labda ndio maana CAG aliwapa hati inayoridhisha

Nimalizie kwa kusema fedha yoyote ya taasisi huweza kubadilishiwa matumizi na hiyo siyo dhambi ndio maana hata fedha za bajeti zikifika serikalini zinaweza kubafilishiwa matumizi kwa nia njema tu ya kuleta maendeleo kwa haraka.

Nawatakia Dominica yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
Kwa maelezo yako kweli MAENDELEO HAYANA CHAMA!! Waeleze pia wana Lumumba na WAPWA waelewe hili.
 
Juakali hakulalamika juu ya makato ya fedha kwani hilo swala lipo ndani ya katiba bali alicholalamika ni kubadirishwa matumizi ya hayo makato ikiwemo mwenyekiti kujikopesha na mpaka sasa chama hakina fedha ni vyema tusiwe na haraka kwani zote ni tuhuma tusubiri takukuru wamalize uchunguzi mbivu na mbichi zitajulikana
Kwa hiyo CAG hakuona yote hayo, yaje yafanyiwe kazi na TAKUKURU? Kitu ambacho CCM na Spika wanatakiwa kujilaumu ni kutokumwambia CAG mapema kabla hajaanza kukagua matumizi ili atoe kwa CHADEMA hati chafu kwa makusudi ili waitumie kama fimbo ya kuichapa CHADEMA.

Kwa sasa TAKUKURU wanapoteza muda na fedha bure. Kazi ya TAKUKURU ni kuchunguza jinai na si matumizi ambayo CAG amebariki.
 
Juakali hakulalamika juu ya makato ya fedha kwani hilo swala lipo ndani ya katiba bali alicholalamika ni kubadirishwa matumizi ya hayo makato ikiwemo mwenyekiti kujikopesha na mpaka sasa chama hakina fedha ni vyema tusiwe na haraka kwani zote ni tuhuma tusubiri takukuru wamalize uchunguzi mbivu na mbichi zitajulikana
TUNAKUSUBIRI ingawa nguvu ya sauti yako yapungua kwa kasi kama ya Yuda Lijualikali Iscariote.
 
Nimwwasikiliza wabunge wote wa Chadema waliohojiwa na vyombo vya habari baada ya kutoka kwenye mahojiano na maofisa wa Takukuru.

Kwanza nilimsikiliza Lijualikali aliyedai wabunge wa Chadema wamepanga njama za kuidanganya Takukuru.
Nikakaa mkao wa kuwasikiliza wabunge wengine ili nibaini hizo njama.

Nilichogundua baada ya kuwasikiliza ni kweli wabunge wamekiri kukatwa fedha zao kwa ajili ya ujenzi wa chama na hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Chadema

Pili, makato hayo hukatwa na ofisi ya bunge chini ya Baraka za mh Spika na kuwasilishwa kwa Katibu mkuu wa Chadema.

Tatu, matumizi ya chama husimamiwa na Katibu mkuu na fedha za chama hutunzwa na mhasibu mkuu wakati matumizi ya chama huamuliwa na kupitishwa na kamati kuu ya chama.
Suzan Lyimo kwa mfano alishangaa wao kuulizwa maswali yaliyopaswa kuelekezwa kwa mhasibu kwani wao kama wabunge katiba inawataka kuchangia ujenzi wa chama siyo kupanga matumizi.
Suzan Kiwanga amedai makato yao hubsrikiwa na mh Spika.

Naye mbunge Pareso anasema kanuni ya makato huelezwa kuanzia day one unapojaza fomu ya maombi ya ubunge hivyo ni uamuzi wako kama hutaki usigombee.

Katika mazingira haya ni wazi makato ya wabunge wa Chadema yako kikatiba na matumizi yake huidhinishwa na kamati kuu ya chama.
Labda ndio maana CAG aliwapa hati inayoridhisha

Nimalizie kwa kusema fedha yoyote ya taasisi huweza kubadilishiwa matumizi na hiyo siyo dhambi ndio maana hata fedha za bajeti zikifika serikalini zinaweza kubafilishiwa matumizi kwa nia njema tu ya kuleta maendeleo kwa haraka.

Nawatakia Dominica yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Huyo jamaa ndiyo nasikia atagombea kilombero Kwa ticket yenu
Mtu mwongo, Mnafiki mtoa Siri za chama
 
Back
Top Bottom