Nimewasili Daslama nimekutana na kupatwa kwa mwezi na mademu wakali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Hatimaye safari yangu ya kutoka nkoani Simiyu wilayani Itilima imefika mwisho hapa mjini Daslama

Nilikua makini sana pale ubungo,nimetoka nje nimekuta wanauza visamaki vina kamba kamba na wengine wana mikia mikia hivi,nikanunua vipande kadhaa na supu

Nikamsubiri Jamaa angu kanifuata na motokaa yake hadi kitaa Sinza

Nimekaa hapa nakunywa wine nawaona watoto wakali wanapita huku kitaa na nikiangalia juu naona mwezi mwekundu

Ama kweli Deslamu raha sana ,kesho ntaenda kushangaa maghorofa kule mjini na ntaenda kuonana na ndugu yangu JIWE pale state house

Asanteni nyote mlionipa mwongozo pindi nitakapoingia hapa mjini
 


Pole dogo, Kumbuka mademu wengi wa Bongo ni choka ile mbaya haswa kwa sasa ukizingatia uchumi hawana na wale waliokuwa wanawapiga mizinga hawana njia zingine za kutunza watu mijini. Siku hizi mshikaki mmoja tu au punje tu ya mshikaki unapata Wema Sepetu na kundi lake kirahiiiiiiiiiisi kama hauna akili vile. Ukata si lele mama, mademu wanakoma hivi sasa mpaka wanatia huruma. Magufuli oyeeeee.
 
karibu msukuma mwenzangu karibu sana ***** ngosha **** nikupe siri hapa dar asa posta WASUKUMA wengi wana status (vyeo vya maana) kwenye makampun mengi na ofisi nyingi sana
 
nikupe tahadhari mkuu ucthubutu kukaribia mbingu ya mfalme jiwe ata umbali wa mita 200 kwa maana utapata kuwafahamu wale wasiojulikana na ukiwafahamu tu mdomo wako utafunga milele hautaongea tena na hautakuwepo
 
hahaaa, eti Wema Sepetu na kundi lake!!
 
hahaaa, eti Wema Sepetu na kundi lake!!


Ulikuwa hujuwi kuwa ana kundi lake la watu tata, wanazurura tu mjini na kuona ufahari kumbebea mikoba yake. Mchezo huu alikuwa anao sana Aunt Ezekiel, watu walimcheka sana akaacha ila sasa karudia tena kubeba mikoba ile ile. Yaani kawa msukule wa Wema wa kujitolea.
 
nikupe tahadhari mkuu ucthubutu kukaribia mbingu ya mfalme jiwe ata umbali wa mita 200 kwa maana utapata kuwafahamu wale wasiojulikana na ukiwafahamu tu mdomo wako utafunga milele hautaongea tena na hautakuwepo

doooooh ndio mnavyowadanganyaga ndugu zenu wa mikoani hivyo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…