Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Hatimaye safari yangu ya kutoka nkoani Simiyu wilayani Itilima imefika mwisho hapa mjini Daslama
Nilikua makini sana pale ubungo,nimetoka nje nimekuta wanauza visamaki vina kamba kamba na wengine wana mikia mikia hivi,nikanunua vipande kadhaa na supu
Nikamsubiri Jamaa angu kanifuata na motokaa yake hadi kitaa Sinza
Nimekaa hapa nakunywa wine nawaona watoto wakali wanapita huku kitaa na nikiangalia juu naona mwezi mwekundu
Ama kweli Deslamu raha sana ,kesho ntaenda kushangaa maghorofa kule mjini na ntaenda kuonana na ndugu yangu JIWE pale state house
Asanteni nyote mlionipa mwongozo pindi nitakapoingia hapa mjini