Nimewasili Mkoani Iringa na muda huu napata supu safi kwa bei ya sh. 1,500 tu

Nimewasili Mkoani Iringa na muda huu napata supu safi kwa bei ya sh. 1,500 tu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF

Nimeingia Iringa muda huu kikazi

Nimeagiza supu nzuri, tamu, ya kutosha na tena yenye ladha ya kipekee kabisa

Furaha yangu ilizidi zaidi nilipoambiwa na mhudumu kuwa bei yake
shs 1,500 tu.

Nafurahi sana kuwa Mkoani Iringa
1618472825922.png
 
1,500 unaita 'tu' na supu ya 500 asemaje 'tuu'...mboga saba sijui mupoje.
 
Wadau wa JF

Nimeingia Iringa muda huu kikazi

Nimeagiza supu nzuri, tamu, ya kutosha na tena yenye ladha ya kipekee kabisa

Furaha yangu ilizidi zaidi nilipoambiwa na mhudumu kuwa bei yake
shs 1,500 tu

Nafurahi sana kuwa Mkoani Iringa

View attachment 1752511
Supu Iringa siyo aghali kwa sababu mbwa hawana bei kubwa. Endelea ku enjoy mkuu
 
Kama ni Iringa hiyo ni supu ya mbwa mkuu ndiyo maana wanauza nyingi kwa buku jero.
 
Back
Top Bottom