Nimewasili Mkoani Iringa na muda huu napata supu safi kwa bei ya sh. 1,500 tu

Nimewasili Mkoani Iringa na muda huu napata supu safi kwa bei ya sh. 1,500 tu

Kama unaumri uliozidi miaka 30 basi ukimaliza hapo utafute tunda ule.....hapo ulipo yakomengi tu kula mkuu
 
1500???

Aisee mimi ningeacha hicho chakula mbona nyingi sana isijekuwa ni mzoga?
 
Back
Top Bottom