Nimewasili Mkoani Iringa na muda huu napata supu safi kwa bei ya sh. 1,500 tu

Kama unaumri uliozidi miaka 30 basi ukimaliza hapo utafute tunda ule.....hapo ulipo yakomengi tu kula mkuu
 
Iringa?[emoji16][emoji16][emoji16].
Sijui nikwambie
 
Kama wenzako wanaokunywa hawadhuriki, we kunywa tu chief. Piga maisha
 
1500???

Aisee mimi ningeacha hicho chakula mbona nyingi sana isijekuwa ni mzoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…