Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hili swali limebeba ujumbe kwamba KUGONGWA TANO NI KAWAIDA KWENUWw hujawahi kugongwa tano? Uzumbukuku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali limebeba ujumbe kwamba KUGONGWA TANO NI KAWAIDA KWENUWw hujawahi kugongwa tano? Uzumbukuku...
Kwani uzi unaongelea nini? Kama umekosa hata akili ya kuwa consistent mimi nitakusaidiajeNilidhani furaha yako ni kolo ashinde..!! Anyway, tano moja bado inawahangaisha..!! na mtakufa mdomo wazi pale tutakaposhinda mechi hiyo..!!!
Mwasibu habariUngeniunganisha na mimi kwenye wasilisho. Furaha yangu Uto wafungwe
Hajakuomba kitu, maana waarabu ukiwashobokea hawaoni ajabu kukuomba
Yaani kiufupi, UTAGONGWA
Mr Chairman
Am a Simba Fan from Tanzania, an arch rival of Yanga Sports Club which your club is expected to face on Saturday.
I am writing this letter with good intention to inform you that your game against Yanga on Saturday should not be taken for granted.
Yanga have announced through their spokesman that they will make sure, by hooks or crooks they win with a bang against you on Saturday.
I am ready to help you in order to win that match.
Yanga is nothing, they don't have anything, they expect to make use of metaphysics to win the game, so be careful.
Your team has to make sure that they enter in the country with cautions!
Make sure you come with your food, come with your barrel, do agree to board their bus, you have to depend on each and everything.
Last but not least, make sure that you pray for the almighty creator, we as Muslims can not be defeated by witchcraft.
Contact me through mobile phone 0777121234.
TusubiriWatoto wa Rage tumewazoea. Baada ya mechi kuisha, usije hapa na wimbo wako mwingine wa taarab.
Hapo yeye anaona kashusha yai vya kutosha kumbe badala ya waarab kufanyia kazi hayo aliyoandika wataanza kujiuliza level ya uelewa wake na wataenda mbali zaid na kuhususisha ueelwa wake na timu anayoshabikiaHiki ni kizungu, kiingereza au lugha gani?
Majini hayatafanya kazi wallahi!Timu yako ilifungwa 5 yeye alishinda 3 nani amfundishe mwenzake?
Mr Chairman
Am a Simba Fan from Tanzania, an arch rival of Yanga Sports Club which your club is expected to face on Saturday.
I am writing this letter with good intention to inform you that your game against Yanga on Saturday should not be taken for granted.
Yanga have announced through their spokesman that they will make sure, by hooks or crooks they win with a bang against you on Saturday.
I am ready to help you in order to win that match.
Yanga is nothing, they don't have anything, they expect to make use of metaphysics to win the game, so be careful.
Your team has to make sure that they enter in the country with cautions!
Make sure you come with your food, come with your barrel, do agree to board their bus, you have to depend on each and everything.
Last but not least, make sure that you pray for the almighty creator, we as Muslims can not be defeated by witchcraft.
Contact me through mobile phone 0777121234.
Kumbe nyie ni kipofu kaona mwezi?Hili swali limebeba ujumbe kwamba KUGONGWA TANO NI KAWAIDA KWENU
Juzi tuu hapo au ww ulikua unanyonya? 😆Enzi hizo sukari kilo sh 500/=?
Kipindi hicho Waziri mkuu ni mzee Warioba au Msuya?Juzi tuu hapo au ww ulikua unanyonya? [emoji38]
Ww mwaka 2012 ulikua hujazaliwa?Kipindi hicho Waziri mkuu ni mzee Warioba au Msuya?
Mimi nitakuwa mshengaUlichobakisha ni kuolewa naye basi.
Jiandae kuolewa kwa mkupuo,mnashobokea waarabu mtapenyezewa kitu chenye ncha Kali.Ungeniunganisha na mimi kwenye wasilisho. Furaha yangu Uto wafungwe
Unapenda sana majiniWw mwaka 2012 ulikua hujazaliwa?
Sasa toka mwaka huo mlikua mnasubiria nini kufunga? Au majini yalikua bado hajakomaa...kumbuka hapo kati baada ya 2012 mmepokea vichapo vya 4...4 vingi tuu hapo...