Nimewasiliana na mwenyekiti wa CRB namna ya kuikabili Yanga jumamosi

Hajakuomba kitu, maana waarabu ukiwashobokea hawaoni ajabu kukuomba
Yaani kiufupi, UTAGONGWA

The word Metaphysics should be defined:

The following are the branches of Metaphysics;

Ontology

Cosmology

Mind-Body Problem

Free will and determination
Self realization

transcendence

time and space
causality

possibility and necessity,

What did you mean the word metaphysics Makolo ?
 

The word Metaphysics should be defined:

The following are the branches of Metaphysics;

Ontology

Cosmology

Mind-Body Problem

Free will and determination
Self realization

transcendence

time and space
causality

possibility and necessity,

What did you mean the word metaphysics Makolo ?[/QUOTE]
 

Kizazi cha Kikwete mna tabu sana
 
Kipindi hicho Waziri mkuu ni mzee Warioba au Msuya?
Ww mwaka 2012 ulikua hujazaliwa?
Sasa toka mwaka huo mlikua mnasubiria nini kufunga? Au majini yalikua bado hajakomaa...kumbuka hapo kati baada ya 2012 mmepokea vichapo vya 4...4 vingi tuu hapo...
 
YAANI MSIMU HUU SIMBA HATAOKOTA HATA POINT MOJA KUTOKA KWA YANGA YAANI ZINABEBWA ZOTE SITA DUU YAANI SIMBA ATATOA ZOTE KWAKWELI HII TIMU NI MALA........A
 
Ww mwaka 2012 ulikua hujazaliwa?
Sasa toka mwaka huo mlikua mnasubiria nini kufunga? Au majini yalikua bado hajakomaa...kumbuka hapo kati baada ya 2012 mmepokea vichapo vya 4...4 vingi tuu hapo...
Unapenda sana majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…