Nimewasiliana na mwenyekiti wa CRB namna ya kuikabili Yanga jumamosi

Hili likolo Limejifunza English Course sasa linasumbua watu huku na English yake ambayo ni Broken.
 
Algeria wanaongea French we kima!
 
Don't m
Don't murder other people's languages. May be you should have written it in Arabic!
Timu yako inacheza leo kakini wiki nzima mmeshupalia mechi ya Yanga. Nikuambie kitu - dua la kuku halimpati mwewe!

By the way mganga wenu wa Pemba kawaambiaje kuhusu mechi ya leo? Mnafungwa tatu au nne?
 
Kesho topolo likifirika humu ndani mbona kutakuwa hakutoshi nawaambia,ila likimpakata mtu siingii jf kesho,ila likilalwa haki ya nani kuna watu mnaiona jf chungu,niwaonye mapema tu.
 
Tatizo haukumshirikisha mchambuzi nguli humu Jf kutokan Ukoloni ndugu Scars , swala hili lingeisha mapema Yanga angepigwa kitu kizito.
 
Kesho topolo likifirika humu ndani mbona kutakuwa hakutoshi nawaambia,ila likimpakata mtu siingii jf kesho,ila likilalwa haki ya nani kuna watu mnaiona jf chungu,niwaonye mapema tu.
Badili na akaunt kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…