Nimewasilisha barua yangu TFF jana dhidi ya Jemedar Said "Bin Kazumari"

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Jana niliwasilisha barua yangu Ya Malalamiko Pale Tff dhidi ya Mwandishi wa Habari Jemedar Said Kuhusu Tuhuma zake Kwa Kocha wa Yanga Kwamba Hana vigezo za Kukaa kwenye Bench Siku ya Mechi Kati Ya Yanga v. Zalan

Intention yake ilikuwa ni;
1. Kumdhalilisha Kocha Nabi Kwamba Sio Kocha ambae Hana leseni ya Class A ya CAF WAkati Sio Kweli.
2. Ilikuwa ni kuwafanya wanayanga wawe down kwenye Mechi husika Kwa kusikia Kwamba Kocha akidhi matakwa ya CAF.
3. Kuwafanya wachezaji wakose Umakini na kubase kwenye game husika

Nimeambiwa nitapigiwa Simu au kutumiwa Email Ili Kwenda trial defense.
.
Mwandishi yyote wa Habari Lazima afanye Story balancing.
 
Kama anayo si aoneshe tu yaishe. Mbona ya Juma Mgunda tumeiona
 
Kama anayo si aoneshe tu yaishe. Mbona ya Juma Mgunda tumeiona
Anawezaje kukaa kwenye benchi la team bila kuwa na Hyo leseni Husika ya Caf?
.
Misingi ya habari inamtaka Kila Mwanahabari Afanye story Balancing
 
Wakuu Jana niliwasilisha barua yangu Ya Malalamiko Pale Tff dhidi ya Mwandishi wa Habari Jemedar Said Kuhusu Tuhuma zake Kwa Kocha wa Yanga Kwamba Hana vigezo za Kukaa kwenye Bench Siku ya Mechi Kati Ya Yanga v. Zalan
Wameshakujibu hata kabla haujaiandika

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…