Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Jana niliwasilisha barua yangu Ya Malalamiko Pale Tff dhidi ya Mwandishi wa Habari Jemedar Said Kuhusu Tuhuma zake Kwa Kocha wa Yanga Kwamba Hana vigezo za Kukaa kwenye Bench Siku ya Mechi Kati Ya Yanga v. Zalan
Intention yake ilikuwa ni;
1. Kumdhalilisha Kocha Nabi Kwamba Sio Kocha ambae Hana leseni ya Class A ya CAF WAkati Sio Kweli.
2. Ilikuwa ni kuwafanya wanayanga wawe down kwenye Mechi husika Kwa kusikia Kwamba Kocha akidhi matakwa ya CAF.
3. Kuwafanya wachezaji wakose Umakini na kubase kwenye game husika
Nimeambiwa nitapigiwa Simu au kutumiwa Email Ili Kwenda trial defense.
.
Mwandishi yyote wa Habari Lazima afanye Story balancing.