Nimewatengenezea hili game (Android game) wapenzi wa Karata(Arubastini)

Nimewatengenezea hili game (Android game) wapenzi wa Karata(Arubastini)

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses.

Wale wapenzi wa mchezo wa karata aina ya Arubastini nmewatengenezea hili game. Kwa upande wa LASTCARD nalo nitaliweka playstore hivi karibuni.

Download kutoka playstore (search Karata - Arubastini).

Au tumia hii link KARATA - ARUBASTINI - Apps on Google Play

Itakupeleka playstore directly.

Ukikutana na bug yoyote au kama una mapendekezo waweza comment hapa au kwenye reviews za playstore

Screenshot_20200607-102248.png
Screenshot_20200607-102239.png
Screenshot_20200607-102334.png
 
Multiplayer mode itakuja hivi karibuni. Itakuwa ni kama club hivi ambapo utaweza kushindana na gurus wengine wa mchezo wa arubastini online.

Game halina matangazo na halitokuwa na matangazo hata baadae. Ni wewe tu kudownload, kucheza na kusikilizia updates.

Show support kwa kufollow insta page ya team inayotengeneza hili game na ma-game mengine yanayolenga swahili culture

instagram: mwamba_visuals
 
Kwenye setting, weka option ya kuondoa sauti, sijaona imenibidi nipinguze kwenye simu, kwa kawaida kunatakiwa kuwe na option ya kudisable audio.
 
Game nzuri, napendekeza baadae kwenye uboreshaji kuwe na option ya kucheza watu wanne mpaka sita online. Kwenye watu wanne mnacheza kama ndugu wawili wawili, na kwenye watu sita mnacheza ndugu watatu watatu.

Kwenye field ya mchezo huu mnaruhusiwa ndugu kuambizana karata mlizonazo kwa siri maadui wasijue tunaiitakugongea, lakini kwenye game kwa upande huo kuwe na option ya kuona karata za ndugu zako.

Vilevile kwenye mchezo wa Arubasitini kuna kitu kinaitwa kuolewa ambalo ni mojawapo ya matukio yanayonogesha mchezo huo. Nashauri hata kwenye game mtu akiolewa kuwa na kitu fulani cha kipekee. Mwisho tunangojea na hilo game la last card mkuu.
 
Game nzuri, napendekeza baadae kwenye uboreshaji kuwe na option ya kucheza watu wanne mpaka sita online. Kwenye watu wanne mnacheza kama ndugu wawili wawili, na kwenye watu sita mnacheza ndugu watatu watatu. Kwenye field ya mchezo huu mnaruhusiwa ndugu kuambizana karata mlizonazo kwa siri maadui wasijue tunaiitakugongea, lakini kwenye game kwa upande huo kuwe na option ya kuona karata za ndugu zako. Vilevile kwenye mchezo wa Arubasitini kuna kitu kinaitwa kuolewa ambalo ni mojawapo ya matukio yanayonogesha mchezo huo. Nashauri hata kwenye game mtu akiolewa kuwa na kitu fulani cha kipekee. Mwisho tunangojea na hilo game la last card mkuu.
Asante nitafanyia kazi maboresho hayo.

Unachosema ndicho nlimaanisha kwa kusema multiplayer mode ila nitaongezea na hio ya teams za wawili wawili

Stay close for updates!
 
Kwenye setting, weka option ya kuondoa sauti, sijaona imenibidi nipinguze kwenye simu, kwa kawaida kunatakiwa kuwe na option ya kudisable audio.
Okay mkuu litafanyiwa kazi.
 
Asante nitafanyia kazi maboresho hayo.

Unachosema ndicho nlimaanisha kwa kusema multiplayer mode ila nitaongezea na hio ya teams za wawili wawili

Stay close for updates!
Kingine ambacho naona kinahitaji kuboreshwa kwa mtazamo wangu, hesabu za karata kwenye mchezo wa Arubasitini ni 120. Sasa mimi nimecheza nimepata 60 mwenzangu (computer) amepata 45 naambiwa mimi ni mshindi wakati ilitakiwa mwenzangu apate 60 pia iwe pata karata. Hapo pia panahitaji maboresho.
 
Kingine ambacho naona kinahitaji kuboreshwa kwa mtazamo wangu, hesabu za karata kwenye mchezo wa Arubasitini ni 120. Sasa mimi nimecheza nimepata 60 mwenzangu (computer) amepata 45 naambiwa mimi ni mshindi wakati ilitakiwa mwenzangu apate 60 pia iwe pata karata. Hapo pia panahitaji maboresho.
hii kama kweli imetokea naomba screenshot nione aisee coz nimehakikisha kila game linapoisha total inakua ni 120.

kwa wewe nadhan imekua hivi: Pair ya mwisho mlocheza inawezekana wew ama bot mmoja kaweka A na mwingine akaweka K kisha wewe ndio ukala(inategemea na uwekaji wa karata) au mmeweka pair ambayo wewe inakufanya ule pointi 15. Kama ilikua ndio pair ya mwisho basi game linaweza lisiupdate points zako(ambazo kiukweli ni 75) na kukuonesha tu umeshinda.

Mkilingana game litasema draw. Kama bado una dukuduku naomba ikitokea tena unitumie screenshot ili niagalie zaidi.

Shukran
 
The swali the question is very confusing with our language..

Hakuna kulamba walambaji wameweka mgomo..[emoji23][emoji12]
Jamaa anazingua asee....[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom