Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 689
[emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifanya hivi itakuwa safi saaana.Game nzuri, napendekeza baadae kwenye uboreshaji kuwe na option ya kucheza watu wanne mpaka sita online. Kwenye watu wanne mnacheza kama ndugu wawili wawili, na kwenye watu sita mnacheza ndugu watatu watatu.
Kwenye field ya mchezo huu mnaruhusiwa ndugu kuambizana karata mlizonazo kwa siri maadui wasijue tunaiitakugongea, lakini kwenye game kwa upande huo kuwe na option ya kuona karata za ndugu zako.
Vilevile kwenye mchezo wa Arubasitini kuna kitu kinaitwa kuolewa ambalo ni mojawapo ya matukio yanayonogesha mchezo huo. Nashauri hata kwenye game mtu akiolewa kuwa na kitu fulani cha kipekee. Mwisho tunangojea na hilo game la last card mkuu.
Ingia hapoAkifanya hivi itakuwa safi saaana.