kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
ofcoz kwa sasa haina kulamba lakini nitaongeza kwenye update ijayo. Now zinagawiwa zote 18 kwa 18 mchezo unaanza. Shukran mkuu kwa feedbackGame zuri mkuu, japo halina kuramba, ni addictive kiasi fulani.
Yeah ni kwasababu haina users wengi. The more ikiwa searched nadhan ndipo itakuwa indexed vizuri na google play. Kwa sasa ili uipate kiurahisi ni mpaka uandike "Karata - Arubastini"Mnapata tabu sana, kusearch karata pekee haitoshi google wanaleta tu result za karate,
karibu mkuuNgoja nijaribu
Itakuja kwenye next update mkuu. Stay close.Kwanini hamna kulamba?
Asante nitafanyia kazi maboresho hayo.Game nzuri, napendekeza baadae kwenye uboreshaji kuwe na option ya kucheza watu wanne mpaka sita online. Kwenye watu wanne mnacheza kama ndugu wawili wawili, na kwenye watu sita mnacheza ndugu watatu watatu. Kwenye field ya mchezo huu mnaruhusiwa ndugu kuambizana karata mlizonazo kwa siri maadui wasijue tunaiitakugongea, lakini kwenye game kwa upande huo kuwe na option ya kuona karata za ndugu zako. Vilevile kwenye mchezo wa Arubasitini kuna kitu kinaitwa kuolewa ambalo ni mojawapo ya matukio yanayonogesha mchezo huo. Nashauri hata kwenye game mtu akiolewa kuwa na kitu fulani cha kipekee. Mwisho tunangojea na hilo game la last card mkuu.
Okay mkuu litafanyiwa kazi.Kwenye setting, weka option ya kuondoa sauti, sijaona imenibidi nipinguze kwenye simu, kwa kawaida kunatakiwa kuwe na option ya kudisable audio.
Kingine ambacho naona kinahitaji kuboreshwa kwa mtazamo wangu, hesabu za karata kwenye mchezo wa Arubasitini ni 120. Sasa mimi nimecheza nimepata 60 mwenzangu (computer) amepata 45 naambiwa mimi ni mshindi wakati ilitakiwa mwenzangu apate 60 pia iwe pata karata. Hapo pia panahitaji maboresho.Asante nitafanyia kazi maboresho hayo.
Unachosema ndicho nlimaanisha kwa kusema multiplayer mode ila nitaongezea na hio ya teams za wawili wawili
Stay close for updates!
The swali the question is very confusing with our language..Kwanini hamna kulamba?
hii kama kweli imetokea naomba screenshot nione aisee coz nimehakikisha kila game linapoisha total inakua ni 120.Kingine ambacho naona kinahitaji kuboreshwa kwa mtazamo wangu, hesabu za karata kwenye mchezo wa Arubasitini ni 120. Sasa mimi nimecheza nimepata 60 mwenzangu (computer) amepata 45 naambiwa mimi ni mshindi wakati ilitakiwa mwenzangu apate 60 pia iwe pata karata. Hapo pia panahitaji maboresho.
Jamaa anazingua asee....[emoji3][emoji3][emoji3]The swali the question is very confusing with our language..
Hakuna kulamba walambaji wameweka mgomo..[emoji23][emoji12]
πMnapata tabu sana, kusearch karata pekee haitoshi google wanaleta tu result za karate,