Nimewatizama Kiumakini leo Kipa Manula na Beki Kapombe na kugundua kuwa Mechi ya Derby hawakuwa Wagonjwa bali ni miongoni mwa Wasaliti 9 Simba SC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo.....

1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi
2. Mratibu Abbas Suleiman
3. Kocha Msaidizi Selemani Matola
4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu
5. CEO Barbara Gonzalez
6. Meneja Patrick Rweymamu
7. Kipa Aishi Manula
8. Beki Shomary Kapombe
9. Kiungo Jonas Mkude

Wenye kuujua vyema Mpira wa Tanzania ( Bongo ) tulijua tu kuwa ili Kuwatuliza Mashabiki na Hasira zao Kali leo Geita Gold FC angekufa nyingi tu kama ilivyotokea na kuna Watu sasa huu Ushindi wa Leo utawasahaulisha mabaya yote yaliyopelekea Fiston MINOCYCLINE Mayele kutufanya atakavyo tarehe 13 August, 2022 katika Mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkapa.

Nawakumbusha tu kuwa tarehe 23 Oktoba, 2022 siyo mbali hivyo tujiandae tena Kulia kwani piga ua hawa Watu wangu Tisa ( 9 ) niliowataja hapa ni lazima tu watauza Ramani ya Vita kwa GSM na Yanga SC na kuendelea kuwa Pombe ya Ngomani kwa Kufungwa nao.
 
Yaani mashabiki wengine wa simba dah,,,,, kuna team isiyofungwa duniani??? Match ilikuwa lazima moja afungwe mwingine ashinde,,,,hata hiyo tarehe 23 tukifungwa hakuna cha ajabu...
 
Y
Yaani Yanga unaifananisha na Geita!
 
Mzee baba umerudi??nipe analysis yako mechi ya ngao ya jamii na ya geita!nakukubali mtani usipotee bana hata km team yako pendwa ikifungwa!
 
Genta ana hoja, hata kama hatumuamini lakini tusimpuuze.
 
Mi ninachojua ramani za vita anayeuza ni yule mzungu koko alipigwa mvua na TFF...Ile ni sumu kali yatupasa tujipange sana kuwaua Utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…