Nimewatizama Kiumakini leo Kipa Manula na Beki Kapombe na kugundua kuwa Mechi ya Derby hawakuwa Wagonjwa bali ni miongoni mwa Wasaliti 9 Simba SC

Huu mwandiko mbona kama wa popoma ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ni back up account yake lakini alichoandika asilimia 40 kina ukweli fulani...simba mechi za utopolo kuna ujinga unafanyika kule ndani na mwaka huu wasipoangalia hata za kimataifa itakuwa aibu
 
Sema huna Timu sio kuwatukanisha watu wanajifanya Simba iende mbele hayta kama kwa kusuasua
 
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo.....

1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi
2. Mratibu Abbas Suleiman
3. Kocha Msaidizi Selemani Matola
4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu
5. CEO Barbara Gonzalez
6. Meneja Patrick Rweymamu
7. Kipa Aishi Manula
8. Beki Shomary Kapombe
9. Kiungo Jonas Mkude

Wenye kuujua vyema Mpira wa Tanzania ( Bongo ) tulijua tu kuwa ili Kuwatuliza Mashabiki na Hasira zao Kali leo Geita Gold FC angekufa nyingi tu kama ilivyotokea na kuna Watu sasa huu Ushindi wa Leo utawasahaulisha mabaya yote yaliyopelekea Fiston MINOCYCLINE Mayele kutufanya atakavyo tarehe 13 August, 2022 katika Mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkapa.

Nawakumbusha tu kuwa tarehe 23 Oktoba, 2022 siyo mbali hivyo tujiandae tena Kulia kwani piga ua hawa Watu wangu Tisa ( 9 ) niliowataja hapa ni lazima tu watauza Ramani ya Vita kwa GSM na Yanga SC na kuendelea kuwa Pombe ya Ngomani kwa Kufungwa nao.
Tahila kwenye ubora wako, Mambo ya Simba yanakuhusu Nini wewe utopolo
 
Katika hili nakuunga mkono kwa sababu hizi mechi za daby mara nyingi huwa zinachezwa nje ya uwanja hivyo watu huuza Na kutengeneza pesa mechi ya mwanza Na hii inanipa mashaka Sana kwa kapombe Na manula iweje waumwe katika kipindi ambacho tunaenda kucheza daby
 
Simba itamfunga yanga mwaka ambao watamrudishia Khasim Dewji deal la kuzalisha jezi, KD akishirikiana na vijana wake watiifu Said Tuly na Mratibu wa Simba Abbas ndio wanaiumiza timu wakishirikiana na baadhi ya wachezaji wanaotokea mji kasoro bahari, huuu ndio ukweli.
 
Kwahiyo tufanyaje ili tusifungwe tena na utopwinyo fc
Watu wa kamati ya ulozi hao, kila wanaponyimwa fedha au wanapozidiwa kete na wale wa Yanga ndio wanakuja na maumivu ya staili hii. Tulishamuona hata Kaduguda alipokuwa anaweweseka. Ni kawaida yao kutafuta mchawi..
 
Simba itamfunga yanga mwaka ambao watamrudishia Khasim Dewji deal la kuzalisha jezi, KD akishirikiana na vijana wake watiifu Said Tuly na Mratibu wa Simba Abbas ndio wanaiumiza timu wakishirikiana na baadhi ya wachezaji wanaotokea mji kasoro bahari, huuu ndio ukweli.
Wachezaji hao mbona Ni wale wale air manula Na kapombe
 
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo.....

1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi
2. Mratibu Abbas Suleiman
3. Kocha Msaidizi Selemani Matola
4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu
5. CEO Barbara Gonzalez
6. Meneja Patrick Rweymamu
7. Kipa Aishi Manula
8. Beki Shomary Kapombe
9. Kiungo Jonas Mkude

Wenye kuujua vyema Mpira wa Tanzania ( Bongo ) tulijua tu kuwa ili Kuwatuliza Mashabiki na Hasira zao Kali leo Geita Gold FC angekufa nyingi tu kama ilivyotokea na kuna Watu sasa huu Ushindi wa Leo utawasahaulisha mabaya yote yaliyopelekea Fiston MINOCYCLINE Mayele kutufanya atakavyo tarehe 13 August, 2022 katika Mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkapa.

Nawakumbusha tu kuwa tarehe 23 Oktoba, 2022 siyo mbali hivyo tujiandae tena Kulia kwani piga ua hawa Watu wangu Tisa ( 9 ) niliowataja hapa ni lazima tu watauza Ramani ya Vita kwa GSM na Yanga SC na kuendelea kuwa Pombe ya Ngomani kwa Kufungwa nao.
Napenda tu majina yako unavyoyaandika kwa herufi kubwa. Lini tukale samaki choma pale Kawe Beach?
 
Katika hili nakuunga mkono kwa sababu hizi mechi za daby mara nyingi huwa zinachezwa nje ya uwanja hivyo watu huuza Na kutengeneza pesa mechi ya mwanza Na hii inanipa mashaka Sana kwa kapombe Na manula iweje waumwe katika kipindi ambacho tunaenda kucheza daby
Ni wachache sana tena kama Wewe ndiyo mtanielewa na mmenielewa ila walio wengi hawajanielewa ila ipo Siku watanielewa na Kuikumbuka sana hii ID yangu kwani ukiona nasema Jambo jua kwa 99,9% nina uhakika nalo.
 
Nipo nchini Herzegovina huu mwaka wa 19 sasa Ndugu na sipo Dar es Salaam kama unavyobahatisha .
Ulitegemeaaa nn mkuu wasichomeshee gem ingalii hao watu wasimba wanao roll wt n wachezaji wa yangaa na ukiangalia wachezaji wa ynga walishahadiwaa million 10 kila mchezaji na ukiwaangalia hao Wana wa smba hkn walichoahidiwaa ulitegemea wapambane ingalii walishakubaliana na wenzao wa yanga watagawaana m 10
 
Watu wa kamati ya ulozi hao, kila wanaponyimwa fedha au wanapoziwa kete na wale wa Yanga ndio wanakuja na maumivu ya staili hii. Tulishamuona hata Kaduguda alipokuwa anaweweseka. Ni kawaida yao kutafuta mchawi..
Wanajikuta wanajua sana kumbe ni mazuzu.
 
Back
Top Bottom