Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Alafu wanaboa sana..wanatuma mfululizo sms moja hata mara 10 kwa sikuMwaka jana mwanzoni niliwapigia simu tigo kuwataka wasitishe matangazo yao ya kamari kwani mimi ni mwislam safi na kamari kwangu ni haramu. Japo sio mwislam waliniomba Rashid na wakaahidi kusitisha matangazo yao.
Waliendelea kunitumia SMS mpaka nilipoachana nao(sio kwa sababu ya kamari) line nilitupa.
Mkuu hata ukisema uchune wao wanatuma tu..kuanzia asubh mpk jionAchana nao. Fanya mambo mengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa muda mrefu sana wamekuwa wakinisumbua na sms zao mara "soka letu,jibu machache uingie ujishindie kiasi cha tsh 22,000,00...manula ni A.kipa B.beki??
Mi kwa hasira nikawajibu "wasen...e nyie acheni kusumbua watu..ku...m..k zenu"
Wakarudisha majibu
"HONGERA NAMBA YAKO 07**** IMEINGIA KWENYE DROO NA UNAWEZA KUJISHINDIA TSH 29,000,000 BADO POINTI CHACHE TU KUSHINDA"
ndio nipo hapa naendelea kutafuta matusi mengine konki nijishindie mtonyo
Hahaha ..kwahiyo watanigeuzia kibao na wakat kosa ni lao kutuma tuma sms za ajabuWeka Salio uone, linakatwa juu kwa juu kwa maana umetukana matusi na pia umeambiwa namba yako imeingia kwenye droo na hapo ndipo utaeleza ni droo ya kitanda, meza,gari,au mchezoni
Hahaha ..kwahiyo watanigeuzia kibao na wakat kosa ni lao kutuma tuma sms za ajabuWeka Salio uone, linakatwa juu kwa juu kwa maana umetukana matusi na pia umeambiwa namba yako imeingia kwenye droo na hapo ndipo utaeleza ni droo ya kitanda, meza,gari,au mchezoni
ndio hivoHahaha ..kwahiyo watanigeuzia kibao na wakat kosa ni lao kutuma tuma sms za ajabu
Hahahaha..yaan utamind hatariUsiombe uwe umepigika halafu kuna mtu amekwambia atakutumia hela. Inaingia sms unajua hela unakutana na sms imeandikwa kwa herufi kubwa SHANGWE SHANGWENA.
Sio mlio tu mkuu.shida ni wanatupa kazi ya kufuta ujinga wao mara kwa mara..alafu pia zile notificition pale kweny display.mtu unajua sms ya maana kumbe...ushenzi tuSimu yangu ipo Muted always sitaki usumbufu wa milio ya meseji za hovyo.
Hahaha sipat picha alivotumbua macho kwa hofuDah mimi nilijiabisha nilienda kwenye ofisi za voda zilizopo karibu yangu nikamkaba koo mfanyakazi mmoja,nikidhani hizi meseji za kipuuzi wananiandikia kutoka hapo ofisini kwao kumbe zinatoka huko makao makuu