Nimewaza nikaona kuwa Tanzania huwa tunaingia mikataba iwe mizuri au mibaya kipindi karibu na Uchaguzi.Je kuna uhusiano?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu mbali mbali wasomi, wazalendo, wa chama tawala na wa vyama vingine pia.

Wanazuoni na wananchi wa kawaida.

Kwa ujumla kihistori na kwa haraka haraka mikataba mingi ya inayohusu Rasilimali za Taifa na Watanzania huwa inaingiwa kipindi karibu na Uchaguzi.

Bado naendelea kujiuliza je kuna uhusiano kati ya Uchaguzi na mikataba hii?

Wengine wanasema hivi.

1992- Ardhi
1999- Madini
2008/2010- Gesi
2019----
2023----
 
Maelezo ya Tundu Lissu yanaonesha mtiririko kama huo.
Sasa watanzania tutafakali je kuna kitu hapo au ni porojo tu
 
Back
Top Bottom