Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Hiyo teknolojia mbona ipo kwa nchi zingine,

Inaitwa IVMS In vehivle Monitoring Ststem,

Ufunguo unakua na chip ambayo lazima system isome ndio Gari iwake,pia ina monitor ya GPS sehemu utakazo pita,Speed unayotembea,kama hujafunga Seat belt...
 
Wakati ninaandika nilikuwa hata sijui kama haya mambo yapo huko nchi zingine. Yapo nchi gani mkuu?
 
Wakati ninaandika nilikuwa hata sijui kama haya mambo yapo huko nchi zingine. Yapi nchi gani mkuu?
Mimi nipo huku kwa Malkia,Gari nyingi za Makampuni zina hiyo sytem IVMS kwa ajili ya usalama na ku control matumizi ya gari,

Mfano ukiwasha Gari tu kwenye system inaonyesha ni nani amewasha Gari,

So,hata kama utapigwa na Speed radar njiani watajua ni nani alikua dereva,ni system nzuri ila ni expensive kiasi.
 
Makanda tuu inatosha.. leseni siyo kigezo

Kuna watu wana leseni Class C lakini hawahui kuendesha.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Mkuu unajua hapa Duniani sometimes unaweza kuwaza jambo kumbe lipo tayari,Dunia inaenda kasi sana.
Dunia inakwenda kasi sana mdogo wetu mwenye adamu Infantry Solder.Imagine dunia kwa mshazari wa mstari wa equator inazunguka kwa speed ya 30km/s unategemea nini.Wenzetu huku wametoka zamani sana wao hata ukiingia umelewa gari linagoma kuwaka.Wao hata gari ukizidisha speed camera zinakuona unakutana na faini mbele huwezi kutana na traffic barabarani wa kukuomba hela ya chai.Ila wazo lako zuri japo tunakumbuka kuvuta shuka pamekucha.
 
Sawa mkuu hakika dunia inakimbia kwa speed ya ajabu.
 
Dunia inakwenda kasi sana mdogo wetu mwenye adamu Infantry Solder.Imagine dunia kwa mshazari wa mstari wa equator inazunguka kwa speed ya 30km/s unategemea nini.Wenzetu huku wametoka zamani sana wao hata ukiingia umelewa gari linagoma kuwaka.Wao hata gari ukizidisha speed camera zinakuona unakutana na faini mbele huwezi kutana na traffic barabarani wa kukuomba hela ya chai.Ila wazo lako zuri japo tunakumbuka kuvuta shuka pamekucha.
Mbona jina lako ni refu sana?
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wazo zuri ila unaweza kupata leseni wakati hujawahi kuendesha gari

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo tekinolojia ipo tayari,Kuna gari zinakuwa programmed haiwaki mpaka uweke alama ya kidole,finger plint,miaka ya 2000,Vodacom tulikuwa na huo mfumo kwa wafanyakazi,
Ulaya zipo gari ambazo zina mfumo wa kuangalia macho ya driver ukianza kusinzia,gari inajizima yenyewe.
Vitu vinawezekana ni Swala la automation,Artificial intelligence,au deep learning ampapo mfumo unakuwa umesoma tabia zako zote unapokuwa kwenye gari,kiasi kwamba akiingia mtu mwingine,mwenye character tofauti gari haiwaki
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Inawezekana tu kama serikali inaamua na kuweka hiyo sheria. Gari inaweza kuwekwa huo mfumo pamoja na card reader, sawa na zile zinazotumika kuchukulia pesa ATM, na leseni ziwe zenye mtindo ule ( chip yenye info za dereva ) itafanya hivyo ulivyofikiria. Nchi nyingi za ulaya wanatumia, zaidi bado ni kwa madereva wa magari ya abiria, mabasi na taxi, ila wao ni kipimo cha kupuliza ( breathlyser ) kinachoangalia kiwango cha pombe katika hewa unayotoa. Kiwango kikiwa juu ya kiasi fulani, gari haliwaki.
 
Sawa mkuu
 
Daaah, hao jamaa wapo njema sana mkuu...
It's so disappointing when you come up with an idea that is already implemented!

Unaposema hao jamaa wako njema, psychologically you want us to believe that uko njema pia, sababu wamefanya kitu kama ulichowaza!

Anyway for anything you think to pioneer, just Google it first to avoid unnecessary disappointments!
 
Back
Top Bottom