Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Apr 5, 2008 #1 Kweli sasa najua niko addicted na computer.. pembeni kuna sahani ya wali na njegere, na laptop; wali haukukolea chumvi nimeenda jikoni nimechukua chumvi kwenye kidubwasha chake cha vitundu.. sina hila wala lile nikaanza kunyunyiza laptop! Yaani...
Kweli sasa najua niko addicted na computer.. pembeni kuna sahani ya wali na njegere, na laptop; wali haukukolea chumvi nimeenda jikoni nimechukua chumvi kwenye kidubwasha chake cha vitundu.. sina hila wala lile nikaanza kunyunyiza laptop! Yaani...
D DAR si LAMU JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 2,928 Reaction score 551 Apr 5, 2008 #2 ..duh! yani laptop imekuwa tamu kuliko wali na njegere! ..sasa,umeifuta au umeilamba? baada ya kugundua kuwa uwezi kuichota laptop kwa kijiko! ..lmao!
..duh! yani laptop imekuwa tamu kuliko wali na njegere! ..sasa,umeifuta au umeilamba? baada ya kugundua kuwa uwezi kuichota laptop kwa kijiko! ..lmao!
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Apr 5, 2008 #3 Jibu la fumbo.... http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11659 ha ha ha ha ha 😀 😀, nashindwa kusema pole kwa kweli.... lol
Jibu la fumbo.... http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11659 ha ha ha ha ha 😀 😀, nashindwa kusema pole kwa kweli.... lol
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Apr 5, 2008 #4 the answer is....AM ADDICTED TO JF....!
M mkenya2008 Member Joined Apr 1, 2008 Posts 5 Reaction score 0 Apr 6, 2008 #5 aisee....hiyo ni kali.... mzee mwanakijiji!!