Nimeweka chumvi laptop!

Nimeweka chumvi laptop!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kweli sasa najua niko addicted na computer.. pembeni kuna sahani ya wali na njegere, na laptop; wali haukukolea chumvi nimeenda jikoni nimechukua chumvi kwenye kidubwasha chake cha vitundu.. sina hila wala lile nikaanza kunyunyiza laptop!

Yaani...
 
..duh! yani laptop imekuwa tamu kuliko wali na njegere!

..sasa,umeifuta au umeilamba? baada ya kugundua kuwa uwezi kuichota laptop kwa kijiko!

..lmao!
 
Back
Top Bottom