NIMEWEKA HIVI SIMBA ANACHEZEA KICHAPO

Mimi siyo mtu wa betting, ila unapofanya betting ushabiki weka pembeni utakuwa unaliwa pesa yako tu.

Simba inacheza nyumbani na inajuwa mbinu zote za kuvuka hicho kikwazo.
Mabululu
 
Sawa, simba wakipata goli kabla ya HT watashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…