Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Wewe sio Yanga damu TU,Bali ni Yanga Msomi,ndio maana unaweza kuongea point.Humu wengi hawajui mpira ni wafuata mkumbo tu, mimi Yanga damu lakini sijaona mwarabu wa Libya wa kuitowa Simba tena wameshindwa kupata matokeo kwao