Nimeweka nyimbo kwenye memory na kuangalia kupitia DVD kwa kutumia Card Reader zina scratch (zinakwama kwama). Shida nini?

Nimeweka nyimbo kwenye memory na kuangalia kupitia DVD kwa kutumia Card Reader zina scratch (zinakwama kwama). Shida nini?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Wakuu natumia TV ya kawaida. Baada ya kupitia mambo ya convention kuanzia 780p naandikiwa unsurported format ila 480p ndio inakubali kuonesha lakini scratch nyingi.

Nimechomeka kupitia deki na card reader yangu imeandikwa Micro SD USB 2.0

Shida inaweza kuwa nini wakuu?
 
Hado tatzo litakuwa memory card yako iko slow sana
 
Nawezaje kujua mkuu? kuna indication yoyote kwenye memory card?
Kama hiyo memory card umenunua bongo ni kimeo.
Tafuta memory orginal ya class 10 si chini ya hapi
 
Nawezaje kujua mkuu? kuna indication yoyote kwenye memory card?
Km una PC, jarb kuhamisha file kutoka kwnye flash kwnda kwny PC. Kama speed ikiwa chini ya 10mb/s ujue memory card hyo jau
 
mkuu codecs pia zinaweza kusababisha kuscratch, ulizi convert ziendane na mfumo wa deki yako? 480p inataka kama 1mbps tu, hata sd card vimeo sio ngumu kustream, kama una deki ya kizamani usitumie container ya mp4 jaribu avi.
 
Back
Top Bottom