tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,638
Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu.
Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama.
Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha ya wife kama profile huko whatsapp.aisee nimeoga mvua ya matusi ya kila aina kutoka kwa baadhi ya michepuko yangu,wengine wanaanza kujicompare eti na wife mara wamtoe kasoro eti sio mzuri kama wao,wengine wamenilima block kabisa.
Kuna ambae keshawahi kukumbana na hii changamoto, aliitatuaje?