Nimeweka record leo mlima kitonga.

hosh kosh

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
748
Reaction score
572
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
 
Kitonga una km 8 kona kali na umesimama haswaa.sio mlima wakuendea kwa pupa.ulishuka kwa bodaboda au gari?
 
Kitonga una km 8 kona kali na umesimama haswaa.sio mlima wakuendea kwa pupa.ulishuka kwa bodaboda au gari?
Kwa gar mkuu..sema njia nina uzoefu nayo sana sabb mwaka km wanne iv napita lkn cjawaj shuka kwa dkk hiz ..mana mara nying huwa malor huchelewesha lkn leo naanza mpk namaliza cjapishana na gar..
 
Sawa ila kwa uzoefu wa hiyo njia ningekushauri usirudie mkuu maana vicheche vya hapo huwa ukiona majani umekifikia tayari
Hahaa mkuu ucwaze michezo ming ya road hasa usiku naifaham .
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…