Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

We jamaa du! D-4D toyota top speed 200 ndo gari gani hiyo? au ulimaanisha toyota Hilux vigo common rail d4d , usiseme d4d peke yake sababu d4d toyota wanazo nyingi, mkuu hata gari yako huijui?
Mkuu si unajua madereva wa Halmashauri wamezoea malori chakavu tu sasa siku kakabidhiwa chuma anang'aa sharubu tu
 
Nau sasa naamsha moro to dar..tutaona mung akipenda ..baadae
 
Ni kweli kama umefanya hivyo utakuwa umeweka rekodi, lakini ni rekodi mbaya, usijaribu kuivunja wala mwingine kuijaribu, nasikia pale Israeli amezaa na kuwajengea wanawe kwa bondeni.
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Aina ya gari tafadhari
 
Umepata faida gani baada ya kushuka kitonga kwa speed hiyo kali? Ungeshuka kwa speed ambayo inashauriwa ungepoteza nini? Ukifanya cost-benefit analysis, speed uliotumia kushuka na ile inayoshauriwa ipi ni gharama na ipi ni faida?

Kuna msemo katika driving 'bora kuchelewa kuliko kutokufika kabisa'.

Kuna wakati fulani wasafiri wa treni kuja Dar walikuwa wanashukia Morogoro halafu wanapanda Hiece/ Coaster kuwahi Dar ila usafiri ule wa haraka ulipewa jina 'Dar - mortuary'.
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.

Kuna siku utakutana na mwingine anaweka record ya kupanda Kitonga kwa muda mfupi, hapo ndipo wote mtasherekea kwa pamoja kuweka records zetu na kujaza habari kwenye vyombo vya habari na social media.
 
Back
Top Bottom