Nimeweka record leo mlima kitonga.

Kwaiyo unataka niweke picha humu.
hata usipoweka hatuna tatizo magari ya kampuni hayanaga tatizo[/QUOTE]
Mkuu nilishakujibu mi sio muajiriwa na km umekariri kuona toyota hilux d4d zinamilikiwa na makampun polee..ila tembea uondoe ushamba huo.
 
hata usipoweka hatuna tatizo magari ya kampuni hayanaga tatizo
Mkuu nilishakujibu mi sio muajiriwa na km umekariri kuona toyota hilux d4d zinamilikiwa na makampun polee..ila tembea uondoe ushamba huo.[/QUOTE]
hata humu natembea na natoa ushamba kweli, weka picha tuone
 
kampuni yenu imetimiza miaka mingapi vile tokea iingiea hapa nchini au thread yako ya kwanza umeikana rasmi
Embu tag iyo.thread ambayo mm nimesema nina kaampun..ttz nilishwakwambia unadandia vitu.iyo thread unayozungumzua hujaielewa ww kasome.vizur...
Ile thread nimezungumzia kisa kilichonitokea kitambo sana wakat bdo muajiriwa kampun flan iv...na ilitokea mda sana ..miaka 9sasa toka nimeacha ajira na kuanza kujiajir mkuu so kasome.vizur tena
 
Kitonga kitu gani. Pita Barabara ya Mbambabay to Liuli, kuna kona za Hatari Tz nzima Hakuna, kwa hiyo speed yako sasa hivi ungekuwa unaitwa hayati
 
na mimi niko mafichoni pia,usijifiche gizani tu utajiumbua bora ujifiche kwenye mwanga
hapana ndo mwanzo wa kuleteana mambo ya fb hii ni jf unaleta mada tunajadilim mambo mali ya mshua ama ya company m hainihusu na umbea ndo unajaza thread nying....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…