Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

hapana ndo mwanzo wa kuleteana mambo ya fb hii ni jf unaleta mada tunajadilim mambo mali ya mshua ama ya company m hainihusu na umbea ndo unajaza thread nying....
musiwe watu waongo,huyo mwenzako unamjua, kaumbuka sasa
 
Embu tag iyo.thread ambayo mm nimesema nina kaampun..ttz nilishwakwambia unadandia vitu.iyo thread unayozungumzua hujaielewa ww kasome.vizur...
Ile thread nimezungumzia kisa kilichonitokea kitambo sana wakat bdo muajiriwa kampun flan iv...na ilitokea mda sana ..miaka 9sasa toka nimeacha ajira na kuanza kujiajir mkuu so kasome.vizur tena
jiwe gizani mkuu sikutegemea mayowe
 
hapana ndo mwanzo wa kuleteana mambo ya fb hii ni jf unaleta mada tunajadilim mambo mali ya mshua ama ya company m hainihusu na umbea ndo unajaza thread nying....
Achana nae uyo nishamwambia akosome vizur ile thread aielewe ndo aje.aongee.hapa ttz lake kule hajaelewa kadandia tu
 
Nilishashuka hapo na toyota chaser kwa dk 10 ucku, na nilipiga teki lori 2 na coaster 1
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.

Mkuu wewe noma, ni mtu wa Mbeya ama Rukwa? Unatembea Kitonga usiku bila kukutana na wataalam wa kuruka na ungo? Hongera sana, unatisha.
 
Ule mlima mi nauogopa siku nikipita pale kwa kuendesha nadhani nitafika juu au chini baada ya saa zima
Pale na Mikumi ndio pagumu maana huku simba
 
Mkuu wewe noma, ni mtu wa Mbeya ama Rukwa? Unatembea Kitonga usiku bila kukutana na wataalam wa kuruka na ungo? Hongera sana, unatisha.
Hahahaa mkuu mi wa kgm..kigoma bhn.lkn toka nianze safar zang mambo za kishirikina huwa nakutana nazo lkn kitonga cjawah aisee.ona lkn huku ruaha mbuyun..ndo.sana mara unaona mbuz or kondoo zinatembea kwa mbal ukizifjkia hamna kitu..
 
Ule mlima mi nauogopa siku nikipita pale kwa kuendesha nadhani nitafika juu au chini baada ya saa zima
Pale na Mikumi ndio pagumu maana huku simba
Hahahaa pole mkuu..ila kitonga sasa haitish km zaman so usiogope..ila la mikumi mbugan hataree yan..unaeza kutanaa na mitembo road tena makund na kupisha mpk yapende yenyewe bhn..afu wakat wa usiku wanyama wakali husogea barabaran
 
Back
Top Bottom