hoyaa ukirudi tena njombe msalimie sana legelege kwa kuwa wewe ni mtu wa magari lazima utakuwa unamfaham au ukifika gereji yoyote muulizie .ukimaliza tuu mlima wa polisi hapo kwa edina[emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa mkuu ucjal
Sawa mkuu nimekupata na.hyo maeneo nayapata vizur sana.sema uyo mtu bdo cmfahamu..ni fundi magarhoyaa ukirudi tena njombe msalimie sana legelege kwa kuwa wewe ni mtu wa magari lazima utakuwa unamfaham au ukifika gereji yoyote muulizie .ukimaliza tuu mlima wa polisi hapo kwa edina
Bro bugarama c mchezoKitonga nao ni mlima!kuna hiyo bugarama burundi36kms chiweta malawi
Hahahaha kama wewe ni mtu wa magari makubwa ukifika maeneo hayo ukimuulizia hata mtoto mdogo atakuonyesha au kukupeleka ofisini kwake ndio ni fundi na anaduka la spea pia.hapo madalali wote wanamfaham mwanaSawa mkuu nimekupata na.hyo maeneo nayapata vizur sana.sema uyo mtu bdo cmfahamu..ni fundi magar
Aah sawa mkuu..mi sio wa magar makubwa mkuu ndo mana cjapata kumfaham vizur..lkn maeneo hyo.nayapata vizur kbsaHahahaha kama wewe ni mtu wa magari makubwa ukifika maeneo hayo ukimuulizia hata mtoto mdogo atakuonyesha au kukupeleka ofisini kwake ndio ni fundi na anaduka la spea pia.hapo madalali wote wanamfaham mwana
Hiyo ndio gari gani we jamaa yani unatuona watoto sanaMkuu niko na gar ndogo toyota d4d top speed 200
buha ha aha ha ha ha,nimejikaza sana kucheka comments za huko juu ila hii imenibidi nibwatuke tu na kicheko kikubwa usiku huu,JF bana raha sana..dereva huyo wa halmashauri huyo anapeleka vyeti kufanyiwa uhakiki NIT awahi kurudi huko halmashauri ya Sumbawanga kabla hakijanuka
Mkuu mwaka 2012 Subaru ya burushi wa Soweto ilinipita kitonga nikiwa na Rav 4 kili time,nikasema ni helicopter imenipita au ni gari? Sipendi kuongozana na Forester. Kitonga kushuka ni dakika saba na kupandisha ni dakika tisa,ila zingatia usiwe muda wa kupishana au kuongozana na mabusMwezi ujao nataka nipandishe huo mlima na subaru forester
Na umeshamaliza viroba vingapi hadi muda huu wa kuweka rekodi?Mkuu niko na gar ndogo toyota d4d top speed 200
Hahahaa mkuu mi wa kgm..kigoma bhn.lkn toka nianze safar zang mambo za kishirikina huwa nakutana nazo lkn kitonga cjawah aisee.ona lkn huku ruaha mbuyun..ndo.sana mara unaona mbuz or kondoo zinatembea kwa mbal ukizifjkia hamna kitu..
Mkuu Hongera! umetupa hamasa ya kusafiri usiku kuepuka mitochi isiyo na idadi barabarani kuna wakati niliendesha Dar to Kisumu via Nairobi nilitoka Dar saa 4 usiku by saa 11 alfajiri nipo Nairobi saa 6 kamili mchana nipo Kisumu (ukweni). Uzuri wa Kenya hamnaga hiyo mitochi
mkuu upo NANGUKURU utajuaje mambo ya dar-(via namanga)-nairobi-kisumu?Usitudanganye hivyo jipange uongo ufanane na ukweli japo kiasi flani
mkuu upo NANGUKURU utajuaje mambo ya dar-(via namanga)-nairobi-kisumu?
Muda mzuri ni usiku pametulia lkn mchana aisee ni tabu cz magar mengMkuu mwaka 2012 Subaru ya burushi wa Soweto ilinipita kitonga nikiwa na Rav 4 kili time,nikasema ni helicopter imenipita au ni gari? Sipendi kuongozana na Forester. Kitonga kushuka ni dakika saba na kupandisha ni dakika tisa,ila zingatia usiwe muda wa kupishana au kuongozana na mabus