hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
- Thread starter
- #221
Dah sana yan watu kibao mitaan yan..jobless sema mung atawasaidia ila ttzo la wasomi hawa bhn akil zao kuajiriwa tu na sio kujiajir ..atakwambia sina mtaji akipata kaz kasahau mara kachukua mkopo wa gar misele town isiyo na maana...afu ww.ukitisua hawachelewi kukuita freemason..nawaona wanakula ubuyu ubungo wakijishauri labda mkuu atabadili gia angani wakati mtaani tuna graduates wana mwaka wa 7 hajuh ataajiriwa lin