Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Mkuu niko na gar ndogo toyota d4d top speed 200
Mwezi huu ajali zimepamba moto (Karatu, Mvomero, Muheza-Lusanga); chunga sana nafikiri afuataye ni mzembe mwingine kama wewe anayetamba kwa kusherehekea jambo baya. Jisahihishe!!
 
Huyu mtu endapo akipata ajali kuna watu watadai kuna kafara
Inabid wapingwe mkuu..mi nikifa nimung na hmns yyte atakaehusika..na kufa mkuu ni maumbile..afu ndo njia ya kwenda kuona na mola wang.
 
Mwezi huu ajali zimepamba moto (Karatu, Mvomero, Muheza-Lusanga); chunga sana nafikiri afuataye ni mzembe mwingine kama wewe anayetamba kwa kusherehekea jambo baya. Jisahihishe!!
Sawa bi mkubwa .. lkn niko makini nikiwa barsbaran...
 
Naona unacheza na maisha yako ingekuwa mim ndio wife nikagundua umefanya kitendo hatarishi kama hiki tena unajisifu kabisa alaaaaaaa
Ningekusubiria ufike home nakupokea na mijeledi ya hali ya juu maana huwez kucheza na maisha Wakati kuna familia inakuhitaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha kumbe wewe mkali hivyo
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Dah.... Wastani wa 60km/h [emoji13] [emoji15] ...... Labda kitonga ya Magomeni [emoji41] [emoji41]
Mkuu nilishuka hapa wif ako alikuwa anataka tuonge kidogo so ikanilazim nipak kidogo ndo nikaona niandike kaa uzi haka..bt na nusu saa tu naamsha popo dar

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Dah.... Wastani wa 60km/h [emoji13] [emoji15] ...... Labda kitonga ya Magomeni [emoji41] [emoji41]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
Hahaaa mkuu kitonga nao umeuona mlima bhn,,ple laini kbsa...kuna milima bhn mfno mlima ndololo upo moro njian km unaenda mahenge au malinyi huko unahatar sana afu sasa hauna lami ni vumbi tu masika kuukatisha ni tabu..
 
Dah.... Kuna mlima chupisi ukiwa unatoka Utelela unaelekea Mandinda nao ni balaa dunia nzima[emoji41] [emoji41] [emoji87]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Spendi sana mijitu miongo

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
karibu tena

e6c15ec55091827fe7d397f26b4a92c6.jpg

ZETU DUWA
 
mbona ndo speed ya torch, mie nashuka na dk 5 tyuuu yaaani kama la kwanza
 
Back
Top Bottom