Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

mbona ndo speed ya torch, mie nashuka na dk 5 tyuuu yaaani kama la kwanza
Umeonah eh mkuu..mi nashanga kitonga ni lain sana hasa nyakat.za usiku sana cz hmna magar
 
mbona andiko la nyuma sana hili afu limeandikwa dakika kadhaa zilizopita?

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom