Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Kuna jamaa mmoja alikuwa ameenda msibani na alionekana ana uchungu sana kwani alikuwa akilia kwa sauti kubwa sana.Sasa baada ya muda kupita jamaa akawa halii tena,ikabidi jamaa mwingine amsogelee na kumuuliza imekuwaje ameaacha kulia!
Jamaa akamjibu,"no sijaacha kulia ila nimeweka vibration"
HAVE A LOVELY WEEKEND.
Jamaa akamjibu,"no sijaacha kulia ila nimeweka vibration"
HAVE A LOVELY WEEKEND.