K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 1,289 Reaction score 2,199 Aug 20, 2025 #1 Mimi nimewekeza kwenye Samia Infrastructure Bond. Mpaka leo sijapata cheti changu kuthibitisha kuwa nimewekeza kwenye uwekezaji huo. Chonde chonde ninaomba mnipatie cheti changu kunithibitishia kuwa mimi pia ni muwekezaji kwenye Samia Infrastructure Bond.
Mimi nimewekeza kwenye Samia Infrastructure Bond. Mpaka leo sijapata cheti changu kuthibitisha kuwa nimewekeza kwenye uwekezaji huo. Chonde chonde ninaomba mnipatie cheti changu kunithibitishia kuwa mimi pia ni muwekezaji kwenye Samia Infrastructure Bond.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Aug 20, 2025 #2 Watakaolia ni wengi na hawatapata wa kuwafuta machozi
R Rogojin The Idiot JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 3,559 Reaction score 4,255 Aug 20, 2025 #3 Kwani hakuona angalizo mapema? Kwamba ni za infrastructure?
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 2,104 Reaction score 3,594 Aug 20, 2025 #4 Mama amefanya meng kwa nchi n bora hizo hela mngezisamehe tu kwasababu Mama kafanya makubwa. Lucas Mwashambwa aje ahakikishe
Mama amefanya meng kwa nchi n bora hizo hela mngezisamehe tu kwasababu Mama kafanya makubwa. Lucas Mwashambwa aje ahakikishe
R Rogojin The Idiot JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 3,559 Reaction score 4,255 Aug 20, 2025 #5 didy muhenga said: Mama amefanya meng kwa nchi n bora hizo hela mngezisamehe tu kwasababu Mama kafanya makubwa. Lucas Mwashambwa aje ahakikishe Click to expand... Tena makubwa sana. Ni kweli kabisa, tukae kimya tukimsifia kwa kazi iliyotukuka
didy muhenga said: Mama amefanya meng kwa nchi n bora hizo hela mngezisamehe tu kwasababu Mama kafanya makubwa. Lucas Mwashambwa aje ahakikishe Click to expand... Tena makubwa sana. Ni kweli kabisa, tukae kimya tukimsifia kwa kazi iliyotukuka
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 2,104 Reaction score 3,594 Aug 20, 2025 #6 Rogojin The Idiot said: Tena makubwa sana. Ni kweli kabisa, tukae kimya tukimsifia kwa kazi iliyotukuka Click to expand... me naona aongezewe hela nyingine huyu mama
Rogojin The Idiot said: Tena makubwa sana. Ni kweli kabisa, tukae kimya tukimsifia kwa kazi iliyotukuka Click to expand... me naona aongezewe hela nyingine huyu mama