Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

Ila kwa msaada naweza kufanya kwa mda mwingine maana had sasa bado miti yangu haijafikia umri wa kuvuna ila inanizalishia,..
 
Mkuu Mimi nina shida na mbegu hata kama kilo kumi na kuendelea
 
Mimi naomba kujua soko la mitiki na watu wanaonunua miti hiyo.Baba Mkwe wangu aliipanda siku nyingi na ana msitu wa ekari 20 za mitiki na ina over 15 yrs.Sasa anataka aiuze shida ni wanunuzi. Ana mikopo na karibia afungwe lkn miti yake imeshindwa kumsaidia.Kwa kifupi ameshindwa kumpata mnunuzi wa uhakika.Tafadhali soko liko wapi?
 
Unapatikana wapi mkuu.? Na shamba lipo wapi.? Piga namba zangu hapo juu, au nitumie text
 
Nitext. Mitiki inahitajika sana.
 
Tuwacliane 0718093225
 
Nifundishe namna ya kukamua alizeti mwenyewe bila mashine kiongozi.
 
That's very good bro. Vipi dodoma unaweza kufikishia miche hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni avatar tu my dear... Sura yangu ngumu kama mpini wa jembe lenyewe
Siku kila mmoja atakapoweka avatar ya picha yake ya kweli kutakuwa na vioja, manake wengi humu mitandaoni "wanakula ugali kwa picha ya samaki"
 
Ushauri mzuri sana, kizuri ukipatacho umependa na wanaJF wakipate, wewe siyo wa kukuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…