de pedezyee
Senior Member
- Jun 21, 2015
- 105
- 109
- Thread starter
- #61
Karibu sana mkuuUshauri mzuri sana, kizuri ukipatacho umependa na wanaJF wakipate, wewe siyo wa kukuacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mkuuUshauri mzuri sana, kizuri ukipatacho umependa na wanaJF wakipate, wewe siyo wa kukuacha.
Kuna wengine visu zaidi ya avatari zenyeweSiku kila mmoja atakapoweka avatar ya picha yake ya kweli kutakuwa na vioja, manake wengi humu mitandaoni "wanakula ugali kwa picha ya samaki"
Habari wanajukwaa.
Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki (Grandit teaks) kwa fikra ya kuja kuuza mbao pekee, lakin kadri muda unavyokwenda nimejiona mwenye bahati baada ya kugundua fursa nyingi zinazopatikana kwenye kilimo cha mitiki/miti
Msitu wa mitiki nilionao pamoja na miti ya aina nyingne umenipa nafasi ya kutundika mizinga ya nyuki shamba lote.
Lakini pia sikuishia hapo nikaona kuna tofauti kati ya kutundika mizinga nyuki waje na kufuga nyuki.
Mimi niliamua kufuga nyuki kwa kuanzisha kilimo cha alizeti pembezoni mwa shamba la miti.
Pia nimechimba bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji lakini pia nyuki wapate maji..
Katika kipindi hiki ambacho ninasubiri mitiki ikue zaidi, imekua inaniingizia pesa nyingi kupitia mauzo ya asali na mafuta ya alizeti ambayo ninakamua mwenyewe..
Pia naendelea kuona fursa nyingi zikizidi kujitokeza kupitia kilimo hiki cha mitiki..
Ushauri
Kama unafikiri kuwekeza basi kilimo cha miti ni sehemu sahihi
Unaweza kunitafuta kwa ushauri, kubadilishana mawazo pia.
Kwa wahitaji miche ya mitiki ninasambaza kwa mikoa ya dar, pwani na morogoro kwa bei ya sh. 300@ mche, (pamoja na usafiri).
Call/text; 0766006128/0655715184
Watsap only 0683433440
Shamba langu lipo morogoro,Ila nikuulize swali mkuu unalimia wapi hii kitu, na hujaweka mchanganuo wa Gharama hata heka 1 tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itategemea na aina ya soko unalolikusudia, nitakuelekeza soko la nje ambalo ndio zuri na utapata faida kubwa.Nilisikia hii habari ya mitiki sikujua kama ni kweli hebu fafanua mkuu faida ikojekwa mfano ukiwa na eka 5 baadaya miaka kumi ni sh ngapi waeza earn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kupanda pia mkuuMaeneo ya Bagamoyo unaweza kupanda hii miti?
Unaweza kupanda pia mkuu
Karibu sanaPoa Mkuu niko mkoani ngoja nirudi Dar niweke mambo sawa ntakutafuta.
Mashamba yake unaweza kupanda mikoa gan brooHabari wanajukwaa.
Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki (Grandit teaks) kwa fikra ya kuja kuuza mbao pekee, lakin kadri muda unavyokwenda nimejiona mwenye bahati baada ya kugundua fursa nyingi zinazopatikana kwenye kilimo cha mitiki/miti
Msitu wa mitiki nilionao pamoja na miti ya aina nyingne umenipa nafasi ya kutundika mizinga ya nyuki shamba lote.
Lakini pia sikuishia hapo nikaona kuna tofauti kati ya kutundika mizinga nyuki waje na kufuga nyuki.
Mimi niliamua kufuga nyuki kwa kuanzisha kilimo cha alizeti pembezoni mwa shamba la miti.
Pia nimechimba bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji lakini pia nyuki wapate maji..
Katika kipindi hiki ambacho ninasubiri mitiki ikue zaidi, imekua inaniingizia pesa nyingi kupitia mauzo ya asali na mafuta ya alizeti ambayo ninakamua mwenyewe..
Pia naendelea kuona fursa nyingi zikizidi kujitokeza kupitia kilimo hiki cha mitiki..
Ushauri
Kama unafikiri kuwekeza basi kilimo cha miti ni sehemu sahihi
Unaweza kunitafuta kwa ushauri, kubadilishana mawazo pia.
Kwa wahitaji miche ya mitiki ninasambaza kwa mikoa ya dar, pwani na morogoro kwa bei ya sh. 300@ mche, (pamoja na usafiri).
Call/text; 0766006128/0655715184
Watsap only 0683433440
.nimejibu hapo juu
Sasa kinacholipa hapa ni mitiki au alizeti na asali?Habari wanajukwaa.
Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki
Katika kipindi hiki ambacho ninasubiri mitiki ikue zaidi, imekua inaniingizia pesa nyingi kupitia mauzo ya asali na mafuta ya alizeti ambayo ninakamua mwenyewe..
Pia naendelea kuona fursa nyingi zikizidi kujitokeza kupitia kilimo hiki
Unaweza kunitafuta kwa ushauri, kubadilishana mawazo pia.
Kwa wahitaji miche ya mitiki ninasambaza kwa mikoa ya dar, pwani na morogoro kwa bei ya sh. 300@ mche, (pamoja na usafiri).
Call/text; 0766006128/0655715184
Watsap only 0683433440
TZS 10000/= kwa kilo mojaJE UNAYO MBEGU YA MIAKA KUMI NA SH KIAS GAN
Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
Umelima kama eka ngapi na kutokana na eka ulizoanza nazo ulianza na mtaji kiasi gani?Habari wanajukwaa.
Katika miaka ya hivi karibuni nilianza kupanda miti ya mitiki (Grandit teaks) kwa fikra ya kuja kuuza mbao pekee, lakin kadri muda unavyokwenda nimejiona mwenye bahati baada ya kugundua fursa nyingi zinazopatikana kwenye kilimo cha mitiki/miti
Msitu wa mitiki nilionao pamoja na miti ya aina nyingne umenipa nafasi ya kutundika mizinga ya nyuki shamba lote.
Lakini pia sikuishia hapo nikaona kuna tofauti kati ya kutundika mizinga nyuki waje na kufuga nyuki.
Mimi niliamua kufuga nyuki kwa kuanzisha kilimo cha alizeti pembezoni mwa shamba la miti.
Pia nimechimba bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji lakini pia nyuki wapate maji..
Katika kipindi hiki ambacho ninasubiri mitiki ikue zaidi, imekua inaniingizia pesa nyingi kupitia mauzo ya asali na mafuta ya alizeti ambayo ninakamua mwenyewe..
Pia naendelea kuona fursa nyingi zikizidi kujitokeza kupitia kilimo hiki cha mitiki..
Ushauri
Kama unafikiri kuwekeza basi kilimo cha miti ni sehemu sahihi
Unaweza kunitafuta kwa ushauri, kubadilishana mawazo pia.
Kwa wahitaji miche ya mitiki ninasambaza kwa mikoa ya dar, pwani na morogoro kwa bei ya sh. 300@ mche, (pamoja na usafiri).
Call/text; 0766006128/0655715184
Watsap only 0683433440
Kuvuna ni miaka 15-20.Mkuu mi nataka kujua hii miti inakubali maeneo ya kanda ya nyanda za juu kusini, kwa maana ya Mbeya, Rukwa, Songwe na Katavi.
Pia nahitaji kujua gharama ya kuhudumia miti (pruning, usafi n.k) kwa heka, pia inaweza kuchukua mpaka miaka mingapi.?
Kuvuna ni miaka 15-20.
Prooning inafanywa mara nyingi ili mti uweze kunyooka vizuri na mbao zisiwe na vidonda. ( hivyo siwezi kukuambia gharama halisi ).
Pia kuna thinning hii ni kupunguza idadi ya miti shambani ili iweze kunenepa.
Thinning inafanya kulingana na mahitaji (miti inayopunguzwa hutumika kama mirunda). Unashauriwa kufanyq thinning miti ikiwa na miaka 3-5.
Kwa maeneo ya nyanda za juu kusini sijawahi kufanyia kazi